Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Rais Magufuli: Kenya, mshirika nambari moja wa Tanzania kibiashara barani Afrika

    Rais Magufuli: Kenya, mshirika nambari moja wa Tanzania kibiashara barani Afrika

    Oct 31, 2016 11:43

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amekanusha madai kuwa serikali yake inazipuuza nchi jirani na kujikita zaidi katika masuala ya ndani.

  • Sisitizo la Tanzania la kupambana na biashara haramu mashariki mwa Afrika

    Sisitizo la Tanzania la kupambana na biashara haramu mashariki mwa Afrika

    Oct 31, 2016 09:59

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amesisitiza kupambana na biashara haramu katika eneo la mashariki mwa Afrika.

  • Ulimwengu wa Michezo, Okt 31

    Ulimwengu wa Michezo, Okt 31

    Oct 31, 2016 03:58

    Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti kutoka kila kila dunia ndani ya siku saba zilizopita.

  • SAUTI: Hali ya Tanzania baada ya mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani

    SAUTI: Hali ya Tanzania baada ya mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani

    Oct 27, 2016 11:53

    Radio Tehran imezungumza na baadhi ya Watanzania kuhusu mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani, huku changamoto kubwa ya serikali yake ikiwa ni ugumu wa maisha kwa Watanzania.

  • Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20

    Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20

    Oct 26, 2016 01:10

    Tanzania na Morocco zimesaini mikataba ya kushirikiana katika nyanja zaidi ya 20.

  • Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo

    Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo "Halal"

    Oct 25, 2016 04:40

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kila Mtanzania karibuni hivi atanufaika na bidhaa zenye nembo ya Halal, ambapo wapo mbioni kuijumuisha nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye orodha ya nchi 33 ambazo zinatumia bidhaa halali za vyakula na vinywaji.

  • Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU

    Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU

    Oct 20, 2016 10:04

    Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.

  • Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania

    Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania

    Oct 12, 2016 04:05

    Wanawake kutoka nchi kadhaa za Afrika wanakongamana mjini Moshi nchini Tanzania katika mkutano wa kujadili haki za mwanamke, hususan haki ya kumiliki ardhi na maliasili.

  • SAUTI: Serikali ya Tanzania yaendelea kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kutumia bandari ya Dar es Salaam, Tanga

    SAUTI: Serikali ya Tanzania yaendelea kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kutumia bandari ya Dar es Salaam, Tanga

    Oct 11, 2016 13:43

    Serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha miundombinu katika bandari zake za jijini Dar es Salaam na Tanga ili kuzivutia nchi majirani zisizokuwa na bandari kuweza kutumia bandari hizo.

  • Jumamosi, Oktoba Mosi, 2016

    Jumamosi, Oktoba Mosi, 2016

    Oct 01, 2016 00:42

    Leo ni Jumamosi tarehe 29 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1437 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Oktoba 2016 Miladia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS