-
Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania, Rwanda unastawi kwa wastani
Sep 30, 2016 03:33Benki ya Dunia imetoa ripoti ya ustawi wa uchumi wa Afrika ambapo nchi za Afrika Mashariki za Tanzania na Rwanda zinaonekana kuwa na uchumi wenye kustawi kwa wastani.
-
SAUTI: Wanachama CUF TZ: Mgogoro uliopo chamani utatuliwe kwa pande hasimu kuheshimu katiba ya chama
Sep 29, 2016 14:52Wanachama wa chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania, wamewataka viongozi wanaohasimiana, kutanzua mgogoro uliopo wa kwa kuchunga misingi ya katiba ya chama hicho.
-
SAUTI: Vutanikuvute ndani ya chama cha CUF Tanzania zaendelea huku Profesa Lipumba akipigwa kalamu nyekundu
Sep 27, 2016 13:34Katika kikao kilichoitishwa na kamati ya utendaji ya chama cha CUF, kulijadiliwa masuala mbalimbali ikiwemo uamuzi dhidi ya Profesa Lipumba.
-
Viongozi wa dini Tanzania: Serikali ifanye tathmini ya madhara ya tetemeko kwa usawa
Sep 16, 2016 00:03Viongozi wa dini mkoani Kagera nchini Tanznaia wameishauri serikali kuwashirikisha wananchi katika zoezi la kutathmini madhara, yaliyotokana na tetemeko la ardhi mkoani humo kwa usawa, na kwamba hadi sasa baadhi ya maeneo, hayajafikiwa na kufanyiwa tathmini hiyo.
-
Malaysia yathibitisha mabaki ya ndege yaliyopatikana Tanzania ni ya ndege yake iliyotoweka
Sep 15, 2016 11:26Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia amesema kuwa kipande kikubwa cha sehemu ya ndege kilichopatikana katika kisiwa cha Pemba nchini Tanzania mwezi Juni mwaka huu ni cha ndege yake ya Boeing 777 iliyotoweka zaidi ya miaka miwili iliopita.
-
Tetemeko la ardhi lakumba maeneo ya Tanzania, Uganda na Burundi; 10 wafariki dunia + SAUTI
Sep 10, 2016 11:14Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.7 kwa kipimo cha rishta limeikumba mikoa ya kanda ya ziwa nchini Tanzania na kusini mashariki mwa Uganda na baadhi ya maeneo ya Burundi kusababisha maafa ya vifo na majeruhi na hasara ya mali.
-
Iran na Tanzania kuimarisha uhusiano wa kiutamaduni
Sep 02, 2016 11:26Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeazimia kuimarisha uhusiano wa kiutamaduni na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
UKUTA watangaza kuakhirisha maandamano ya kesho Tanzania
Aug 31, 2016 09:42Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umeahirisha maandamano ya kitaifa ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika kesho.
-
TLP: Serikali ya SMZ ikifungie ruzuku chama cha CUF hadi kijirekebishe
Aug 24, 2016 23:56Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) nchini humo, kimemuandikia barua Rais wa Mapinduzi wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na kumtaka kuanzia sasa amtenge Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa kutomualika kwenye shughuli zozote za kitaifa.
-
TRA Tanzania kupita nyumba hadi nyumba kuchunguza upangishaji
Aug 06, 2016 00:05Katika hali ya kushangaza, Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania (TRA), imetangaza kuwa itaanza kutembelea nyumba hadi nyumba kuhakiki gharama za upangishaji kwa lengo la kukokotoa na kukusanya kodi sahihi ambazo zilikuwa hazifiki serikalini.