SAUTI: Hali ya Tanzania baada ya mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i18274-sauti_hali_ya_tanzania_baada_ya_mwaka_mmoja_wa_rais_magufuli_madarakani
Radio Tehran imezungumza na baadhi ya Watanzania kuhusu mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani, huku changamoto kubwa ya serikali yake ikiwa ni ugumu wa maisha kwa Watanzania.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Oct 27, 2016 11:53 UTC

Radio Tehran imezungumza na baadhi ya Watanzania kuhusu mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani, huku changamoto kubwa ya serikali yake ikiwa ni ugumu wa maisha kwa Watanzania.