SAUTI: Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi visiwani Zanzibar
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i23356-sauti_maadhimisho_ya_sherehe_za_miaka_53_ya_mapinduzi_visiwani_zanzibar
Leo visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Januari 1964.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jan 12, 2017 13:52 UTC

Leo visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Januari 1964.

Hii ni katika hali ambayo kumeedelea kushuhudiwa kwa mkwamo wa kisiasa ulioibuka tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa terehe 25 Oktoba mwaka juzi baada ya tume ya uchaguzi kufuta matokeo ya urais katika uchaguzi huo.

Rais wa Zanzibar Dr Shein

 

Katika shere hizo Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein amesisitizia udharura wa kuheshimiana raia wa visiwa hivyo vya Zanzibar.

Kwa maelezo kamili tujiunge na mwandishi wetu wa visiwani humo, Hassan Issa Ali………/