-
Tanzania kuwachunguza askari wake waliobaka DRC
Apr 06, 2016 03:06Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema Tanzania imeshaandaa timu ya uchunguzi ambayo itasafiri kwenda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kuchunguza madai kuwa askari wake walio katika kikosi cha Umoja wa Mataifa walihusika na unyanyasaji wa kingono.
-
Wanajeshi wa Tanzania wahusishwa na kashfa za ubakaji DRC
Apr 05, 2016 09:46Wanajeshi wa Tanzania walioko katika kikosi cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na tuhuma za kuhusika na ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia.
-
Chama cha CUF: Hatumtambui Dakta Shein kama Rais wa Zanzibar
Apr 04, 2016 12:01Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama Cha Wananchi CUF nchini Tanzania limetoa maazimio 13 baada ya kumaliza kikao chake cha siku mbili visiwani Zanzibar.
-
Hofu ya Ebola yatanda Tanzania baada ya wawili kufariki Dar wakiwa na dalili za homa hiyo
Mar 21, 2016 03:54Hofu ya Ebola imetanda nchini Tanzania baada ya watu wawili kufariki dunia jijini Dar es Salaam wakiwa na dalili za homa hiyo hatari.
-
Hofu ya Ebola yatanda Tanzania baada ya wawili kufariki Dar wakiwa na dalili za homa hiyo
Mar 21, 2016 03:50Hofu ya Ebola imetanda nchini Tanzania baada ya watu wawili kufariki dunia jijini Dar es Salaam wakiwa na dalili za homa hiyo hatari.
-
Uchaguzi wa marudio Zanzibar unafanyika kesho Jumapili
Mar 19, 2016 13:13Uchaguzi uliofutwa mwaka jana katika visiwa vya Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kufanyika Jumapili ya kesho huku Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikitangaza kuwa, maandalizi yote kwa ajili ya uchaguzi huo yamekamilika.
-
CCM: Uchaguzi ni suluhu ya mzozo wa Zanzibar
Mar 19, 2016 04:13Wananchi wa Zanzibar kesho Jumapili wanatazamiwa kuelekea kwenye masanduku ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio visiwani humo, ambao utashirikisha wagombea wa urais na wagombea wa ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka vyama mbalimbali.
-
Viongozi wa dini: Wazanzibar waachwe wajiamulie wenyewe
Mar 14, 2016 04:50Viongozi wa kidini wa Tanzania Bara na Visiwani wamekutana huko Zanzibar na kusisitiza juu ya hali ya amani visiwani humo. Aidha viongozi hao wametaka kupewa uhuru wa kuchagua wakazi wa visiwa hivyo katika uchaguzi wa marudio ujao ambapo wamesema kuwa ni jambo lisilo na mantiki kuwalazimisha wale wasiotaka kupiga kura kushiriki zoezi hilo.
-
Waziri Mkuu wa Tanzania: Dola bilioni 80 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi miundombinu EAC
Mar 09, 2016 11:59Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, zaidi ya dola za Kimarekani bilioni 80 zinahitajika katika kukamilisha ujenzi wa miundombinu kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
-
CUF yakanusha kuwa Maalim Seif yuko kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi
Mar 08, 2016 04:05Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimekanusha taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amelazwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.