- 
          Iran: Uhusiano wetu na Tanzania unazidi kustawi na kuimarikaAug 27, 2022 11:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa, uhusiano wa Tehran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unazidi kuwa imara. 
- 
          Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa IranAug 27, 2022 03:59Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma. 
- 
          Zanzibar: Tuna hamu ya kupanua uhusiano wetu na IranAug 26, 2022 07:29Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar amesema anatumai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaimarisha na kupanua uhusiano wao wa pande mbili. 
- 
          Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya IranAug 25, 2022 11:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran. 
- 
          Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini MaliAug 24, 2022 14:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika. 
- 
          Baada ya Ndui ya Nyani, Marburg na Ebola katika nchi kadhaa za Afrika, homa ya Mgunda yathibitishwa TanzaniaJul 18, 2022 11:07Wizara ya Afya ya Tanzania imetangaza uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu puani na kuishiwa nguvu na hata kufariki dunia. 
- 
          Amnesty yamwandikia barua Rais wa Tanzania kupinga kesi ya mauaji inayowakabili Wamaasai 25Jul 17, 2022 11:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemwandikia barua Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutaka operesheni maalumu ya kuwahamaisha watu wa jamii ya Maasai kutoka Loliondo katika mbuga ya taifa ya Serengeti, isitishwe mara moja. 
- 
          Mabadilishano ya kibiashara baina ya Iran na Tanzania yameongezeka kwa 120%Jul 02, 2022 11:49Balozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania amesema, mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili katika mwaka uliopita yaliongezeka kwa asilimia 120. 
- 
          Ajali za barabarani zaua watu 25 Tanzania ndani ya saa 24Jun 11, 2022 11:18Watu watano wamepoteza maisha na wengine tisa wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Coaster waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka nchini Tanzania. 
- 
          Jumanne tarehe 26 Aprili 2022Apr 26, 2022 02:39Leo ni Jumanne tarehe 24 mwezi mtukufu wa Ramadhani 1443 Hijria sawa na tarehe 26 Aprili mwaka 2022.