-
Waziri Mkuu wa Italia awasili mjini Tehran
Apr 11, 2016 23:56Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi amewasili mjini Tehran mapema leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake.
-
Iran haitosalimu amri mbele ya madola ya kibeberu
Mar 25, 2016 11:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
-
Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa
Mar 18, 2016 13:25Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
-
Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa
Mar 18, 2016 13:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
-
Kashani: Mwamko wa wananchi na jeshi umemaliza njama za adui
Mar 11, 2016 12:55Khatibu wa sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Muhammad Emami Kashani amesema kuwa, mwamko wa siku zote wa wananchi katika nyanja mbalimbali na pia uwezo wa majeshi ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, umeondoa kila aina ya chokochoko za adui dhidi ya taifa hili.
-
Maziko ya mtegeneza filamu mashuhuri wa Iran
Feb 28, 2016 23:05Maziko ya mtengeneza filamu mashuhuri wa Iran, Farajullah Salahshur yalifanyika jana Jumapili kwa kushiriki idadi kubwa ya wapenzi wa tasnia ya filamu hapa nchini.
-
Kujitokeza Wairani katika uchaguzi ni ishara ya ufahamu
Feb 26, 2016 12:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kujitokeza kwa wingi Wairani katika chaguzi mbili za leo ni ishara ya kuwa hai na kuwa na ufahamu na uelewa taifa la Iran.
-
Wairani washukuriwa kwa kushiriki maadhimisho ya Mapinduzi
Feb 12, 2016 11:48Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amewashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya 22 Bahman (11 Februari) kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.