-
Kais Saied aahidi kufanyia marekebisho sheria ya uchaguzi Tunisia
Oct 09, 2022 02:57Baada ya patashika na mijadala mingi hatimaye Rais wa Jamhuri ya Tunisia, Kais Saied ametangaza kwamba atafanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ya nchi hiyo.
-
Kiongozi wa Ennahdha kusailiwa na polisi ya Tunisia madai ya 'ugaidi'
Sep 18, 2022 08:12Kiongozi wa chama cha Kiislamu chenye ushawishi mkubwa nchini Tunisia cha Ennahdha anatazamiwa kusailiwa na jeshi la polisi la nchi hiyo kesho Jumatatu.
-
Ennahda yapinga kamatakamata ya wanasiasa nchini Tunisia
Sep 15, 2022 03:14Harakati ya Ennahda nchini Tunisia imelaani vikali kile ilichoeleza kuwa ni kukamatwa kiholela kwa watu kadhaa akiwemo kiongozi wa ngazi ya juu wa harakati hiyo, Habib Al-Louz na kutaka waachiliwe huru mara moja.
-
Upinzani Tunisia kutoshiriki uchaguzi kwa sheria zilizoandikwa na 'rais peke yake'
Sep 08, 2022 10:37Muungano mkuu wa upinzani nchini Tunisia umesema wanachama wake, kikiwemo chama cha Kiislamu chenye ushawishi mkubwa cha Ennahdha utasusia uchaguzi wa bunge uliopangwa kufanyika mwezi Desemba kuchukua nafasi ya bunge lililovunjwa na Rais Kais Saied wa nchi hiyo.
-
Uhaba mkubwa wa bidhaa za vyakula na ongezeko la kutisha la bei vyaisokota Tunisia
Sep 04, 2022 02:25Masoko na vituo vikubwa vya biashara nchini Tunisia vinakabiliwa na uhaba mkubwa wa bidhaa za vyakula muhimu sambamba na ongezeko ambalo halijawahi kushuhudiwa la bei za bidhaa mbalimbali.
-
Rais wa Tunisia akosoa uingiliaji wa mambo ya ndani wa Marekani
Aug 31, 2022 07:16Rais wa Tunisia amekosoa vikali kile alichokitaja kuwa uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika.
-
Morocco yamuita nyumbani balozi wa Tunisia kuhusu mzozo wa Sahara Magharibi, Tunis yajibu
Aug 27, 2022 11:21Morocco imemuita nyumbani balozi wake wa Tunisia kulalamikia kitendo cha Rais wa Kais Saied wa Tunisia kumpokea kiongozi wa harakati ya Polisario inayopigania kujitenga eneo la Sahara Magharibi.
-
Wapinzani Tunisia waendelea kupinga katiba mpya
Aug 20, 2022 13:34Wakati Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kutekelezwa kwa katiba mpya ya nchi, Harakati ya Ennahda ya Tunisia imepinga hatua hiyo na kusema katiba hiyo haina uhalali. Harakati ya Ennahda imetangaza katiba mpya kama jaribio la kuhalalisha mapinduzi dhidi ya katiba, na pia ni dhidi ya mafanikio ya mwamko wa wananchi.
-
Katiba mpya inayompa rais mamlaka makubwa yaanza kutekelezwa Tunisia
Aug 17, 2022 12:06Katiba mpya ya Tunisia inayompa rais wa Jamhuri nguvu na mamlaka mengi na makubwa imeanza kutekelezwa, baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi ya mwisho ya kura ya maoni iliyofanyika mwezi uliopita.
-
Mahakama Tunisia yatengua uamuzi wa rais kuwatimua majaji
Aug 11, 2022 07:37Mahakama moja nchini Tunisia imebatilisha uamuzi wa Rais Kais Saied wa nchi hiyo wa kuwafuta kazi makumi ya majaji.