-
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu: 47% ya Wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta wanatoka kabila moja
Mar 10, 2022 14:33Ripoti mpya inaonyesha kuwa kabila moja linaunda karibu nusu ya wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH nchini Kenya.
-
Hamas yapongeza ripoti ya Amnesty International inayoitaja Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi"
Feb 02, 2022 02:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza ripoti ya Amnesty International iliyochapishwa jana Jumanne ambayo imeitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa apartheid.
-
Utafiti: Nusu ya watoto weusi wa UK wanaishi katika umaskini
Jan 04, 2022 08:01Utafiti mpya umefichua kuwa, zaidi ya asilimia 50 ya watoto wenye asili ya Afrika nchini Uingereza wanakulia katika mazingira ya uchocholea na umaskini wa kupindukia.
-
Siku ya Kufutwa Utumwa Duniani
Dec 06, 2021 16:48Kwa jina la Mwenyezi Mungu, aliyemuumba mwanadamu akiwa huru, hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa wa mwingine na hakuumba kiumbe chochote isipokuwa kwa ajili ya kumwabudu Yeye mwenyewe, ambaye ni Muumba na anayestahiki kuabudiwa.
-
Indhari ya UN kuhusiana na kushamiri ubaguzi na uenezaji chuki ndani ya jamii ya Marekani
Nov 26, 2021 02:47Fernand de Varennes, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu za jamii za wachache, ametahadharisha juu ya kuzidi kupanuka ufa wa kukosekana usawa na uenezaji chuki dhidi ya jamii za wachache katika mfumo wa vyombo vya mahakama na vyombo vya habari vya Marekani na kutilia mkazo udharura wa kuanzishwa sheria ya kimataifa ya kukabiliana na uenezaji chuki.
-
Zaidi ya wasomi, wanafikra 600 wa kimataifa wataka kuvunjwa utawala wa kibaguzi katika Palestina ya kihistoria
Jul 08, 2021 04:19Idadi kubwa ya wasomi, wasanii na wanafikra kutoka nchi nyingi duniani wametoa wito wa kuvunjwa mfumo wa ubaguzi wa rangi ulioanzishwa katika ardhi za Palestina ya kihistoria, na kuanzishwa mfumo wa utawala wa kidemokrasia ambao utatoa haki na majukumu sawa kwa wakazi wote wa nchi hiyo bila ubaguzi wowote kwa misingi ya rangi, mbari, dini au jinsia.
-
Biden atahadharisha kuhusu ugaidi wa wabaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 03, 2021 02:31Katika hotuba yake ya juzi kwenye kumbukumbu ya mwaka wa 100 tangu baada ya mauaji yaliyofanywa na wazungu dhidi ya Wamarekani weusi katika mji wa Tulsa jimboni Oklahoma, Rais Joe Biden wa Marekani aliutaja ugaidi wa wazungu wabaguzi wa rangi wanaojiona kuwa bora kuliko wanadamu wengine kuwa ni tishio hatari zaidi kwa Marekani.
-
Waislamu wa Austria kuishtaki serikali kwa kuhatarisha usalama wao, ubaguzi
May 30, 2021 12:42Kundi linaloongoza la Waislamu nchini Austria limesema lina mpango wa kufungua kesi dhidi ya serikali ya Kansela Sebastian Kurz kwa kuanika "ramani ya Uislamu" iliyozusha utata mkubwa.
-
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza aitaka Conservative itupilie mbali Islamophobia
May 27, 2021 02:20Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza amekishauri chama tawala cha Conservative kujipanga upya kwa kutupilia mbali sera za kupiga vita Uislamu (Islamophobia).
-
Amnesty International: Wazungu na mbwa waliokolewa kabla ya watu weusi huko Palma, Msumbiji
May 14, 2021 11:47Kundi la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kwamba, wakandarasi wazungu walisafirishwa kwa ndege na kupelekwa maeneo yenye usalama kabla ya wenzao weusi baada ya shambulio la magaidi mwezi Machi mwaka huu katika mji Palma nchini Msumbiji.