Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

uchaguzi wa bunge

  • Wairaqi wanaelekea vituo vya kupigia kura kuchagua bunge la nne tangu baada ya enzi za Saddam

    Wairaqi wanaelekea vituo vya kupigia kura kuchagua bunge la nne tangu baada ya enzi za Saddam

    May 12, 2018 04:16

    Uchaguzi wa nne wa bunge unafanyika nchini Iraq hii leo tangu ulipoangushwa utawala wa kidikteta wa Saddam mwaka 2003 na wa kwanza baada ya kusambaratishwa na kutokomezwa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) katika nchi hiyo.

  • Kuakisiwa ushindi wa mhimili wa muqawama katika uchaguzi wa bunge wa Lebanon na hotuba muhimu ya Sayyid Hassan Nasrullah

    Kuakisiwa ushindi wa mhimili wa muqawama katika uchaguzi wa bunge wa Lebanon na hotuba muhimu ya Sayyid Hassan Nasrullah

    May 09, 2018 08:00

    Akizungumza katika hotuba yake ya kwanza baada kufanyika uchaguzi wa bunge wa Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) ameutaja uchaguzi huo kuwa mafaniko makubwa ya kitaifa kwa Lebanon.

  • Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu hujuma za kigaidi za kundi la Daesh

    Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu hujuma za kigaidi za kundi la Daesh

    Mar 21, 2018 08:14

    Waziri Mkuu wa Iraq ametahadharisha kuhusu hujuma na mashambulizi yanayoweza kufanywa na mabaki ya kundi la kigaidi la Daesh sambamba na kukaribia uchaguzi wa Bunge nchini humo uliopangwa kufanyika tarehe 12 mwezi Mei mwaka huu.

  • Chama tawala Djibouti chadai ushindi katika uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

    Chama tawala Djibouti chadai ushindi katika uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

    Feb 27, 2018 02:52

    Chama tawala nchini Djibouti kimedai ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge la nchi hiyo, kwa kupata asilimia zaidi ya 90 ya viti vyote baada ya wapinzani kususia uchaguzi huo.

  • Uchaguzi wa Bunge Gabon kufanyika Aprili mwaka huu

    Uchaguzi wa Bunge Gabon kufanyika Aprili mwaka huu

    Feb 22, 2018 14:15

    Alain-Claude Bilie By Nze, msemaji wa serikali ya Gabon ametangaza kuwa, uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo utafanyika mwezi Aprili mwaka huu.

  • Bunge la Iraq kuchukua uamuzi kuhusu tarehe ya kufanyika uchaguzi

    Bunge la Iraq kuchukua uamuzi kuhusu tarehe ya kufanyika uchaguzi

    Jan 20, 2018 15:31

    Bunge la Iraq leo Jumamosi limeshindwa kufikia uamuzi kuhusiana na tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Bunge katika kikao chake maalumu hivi leo.

  • Waingereza washiriki uchaguzi mkuu, Wabunge 650 kuchaguliwa

    Waingereza washiriki uchaguzi mkuu, Wabunge 650 kuchaguliwa

    Jun 08, 2017 07:53

    Mamilioni ya wananchi wa Uingereza hii leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupiga kura kushiriki uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ambapo chama tawala cha Kihafidhina kinatazamiwa kuchuana vikali na chama cha upinzani cha Leba.

  • Wagambia kuchagua bunge leo baada ya utawala wa miaka 22 wa Jammeh

    Wagambia kuchagua bunge leo baada ya utawala wa miaka 22 wa Jammeh

    Apr 06, 2017 03:20

    Wananchi wa Gambia leo tarehe 6 Aprili wanatarajiwa kuelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa shabaha ya kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la nchi hiyo.

  • Wananchi wa Gambia kuwachagua wabunge baada ya miaka 22 ya utawala wa kidikteta

    Wananchi wa Gambia kuwachagua wabunge baada ya miaka 22 ya utawala wa kidikteta

    Apr 05, 2017 04:11

    Wananchi wa Gambia huko magharibi mwa Afrika wanatazamia kuelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa bunge baada ya kupita miaka 22 ya utawala wa kidikteta wa Yahya Jammeh.

  • Wenye misimamo mikali washindwa katika uchaguzi wa bunge Uholanzi

    Wenye misimamo mikali washindwa katika uchaguzi wa bunge Uholanzi

    Mar 16, 2017 12:30

    Matokeo ya uchaguz wa bunge Uholanzi yanaonyesha kuwa wanasiasa wenye misimamo mikali wamepata pigo huku chama cha Waziri Mkuu kikipata ushindi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS