-
Mhadhiri mkongwe wa Marekani atabiri kushindwa Trump katika uchaguzi wa rais
Oct 25, 2020 04:27Mhadhiri mkongwe wa vyuo vikuu nchini Marekani ametabiri kuwa rais wa sasa wa nchi hiyo atashindwa katika uchaguzi ujao wa rais; na kwa msingi huo atakuwa ameongoza kwa kipindi kimoja tu.
-
Wasiwasi wa Amnesty International kuhusu ghasia na machafuko katika kampeni za uchaguzi Marekani
Oct 24, 2020 07:38Kupamba moto kampeni za uchaguzi nchini Marekani kwa katika kipindi hiki cha kukaribia tarehe ya uchaguzi wa rais hapo Novemba 3 mwaka huu, na jitihada za Rais Donald Trump wa nchi hiyo ambaye ni mgombea wa chama cha Republican za kutaka kuzusha hali ya mvutano katika jamii ya Marekani, vimeibua hali ya wasiwasi.
-
Wademokrat wa Seneti ya Marekani wapinga madai ya Trump dhidi ya Iran
Oct 24, 2020 00:50Mwenyekiti wa Wademokrat katika Seneti ya Marekani na vilevile Spika wa Kongresi ya nchi hiyo wamepinga madai yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Tasisi ya Usalama wa Taifa kwamba Iran inaingilia uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19
Oct 19, 2020 12:10Gazeti la Washington Post la Marekani limechapisha makala inayokituhumu chama tawala cha Republican kinachoongozwa na Donald Trump kuwa kinawakandamiza wapigakura weusi na kwamba kina malengo sawa na yale ya makundi ya wabaguzi wa rangi yanayoamini kuwa watu weupe ndio kizazi bora zaidi kuliko watu wa rangi nyingine.
-
Makundi jamii ya ulinzi yaundwa US kukabiliana na machafuko ya baada ya uchaguzi, silaha zanunuliwa kwa wingi
Oct 10, 2020 04:26Baadhi ya raia wa Marekani ambao wanahofia uwezekano wa kutokea machafuko baada ya uchaguzi wa rais wameamua kuunda makundi jamii ya ulinzi, huku wengine wakikimbilia kwenye maduka ya silaha ili kununua bunduki kwa ajili ya usalama wao.
-
Kurejea kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, hatua ya kwanza inayopasa kuchukuliwa na Marekani
Sep 27, 2020 00:38Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiyataja mapatano ya nyuklia ya JCPOA kuwa ndiyo mapatano mabaya zaidi kwa nchi yake na hatimaye mwezi Mei mwaka 2018 aliiondoa nchi hiyo kwenye mapatano hayo na kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vikali. Hivi sasa Joe Biden mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Democratic huko Marekani amesema iwapo atashinda uchaguzi huo wa mwezi Novemba mwaka huu atairejesha Marekani katika mapatano hayo ya JCPOA.
-
Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani
Sep 13, 2020 03:04Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa na mivutano mikubwa baada ya kutokea mgogoro huko Ukraine mwaka 2014. Moja ya kadhia ambazo zimebadilika huko Marekani katika miaka ya karibuni na kuwa dhidi ya Moscow ni mjadala wa madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani hivi sasa soko la tuhuma hizo limezidi kupamba moto.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Tehran haijali nani atakua rais wa Marekani, Trump au Biden
Sep 11, 2020 06:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa si suala muhimu mwa Tehran kujua nani atakuwa rais wa Marekani na kuongeza kuwa, katika kipindi chote cha miongo minne iliyopita Marekani imekuwa ikiingilia chaguzi zinazofanyika katika nchi mblimbali duniani.
-
Khatibzadeh: Si muhimu ni nani anakuwa rais wa Marekani
Sep 03, 2020 06:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa hakuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba ni nani anakuwa rais wa Marekani.
-
Kamala Haris akubali rasmi pendekezo la chama cha Democrat kuwa Makamu wa Joe Biden
Aug 20, 2020 19:36Seneta Kamala Haris wa jimbo la California nchini Marekani amekubali rasmi kuwa Makamu wa Joe Biden mgombea wa chama cha Democrat katika uchaguzi wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu. Bi Kamala amekubali pendekezo hilo katika siku ya tatu ya mkutano wa taifa wa chama cha Democratic.