Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uchaguzi wa Rais wa Marekani

  •  Joe Biden: Trump atafanya jaribio la kuiba kura za uchaguzi wa rais, atang’ang’ania White House

    Joe Biden: Trump atafanya jaribio la kuiba kura za uchaguzi wa rais, atang’ang’ania White House

    Jun 12, 2020 06:45

    Mgombea kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden amesema kuwa ana wasiwasi kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo atafanya jaribio la kuiba kura iwapo atashindwa katika uchaguzi ujao wa rais.

  • Uchunguzi mpya wa maoni Marekani: Wagombea urais wa Democrat watambwaga Trump

    Uchunguzi mpya wa maoni Marekani: Wagombea urais wa Democrat watambwaga Trump

    Mar 21, 2020 03:52

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Marekani yanaonyesha kuwa ikiwa uchaguzi wa rais wa Marekani utafanyika hivi sasa, wagombea wa chama cha Democrat watamshinda rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump katika kinyang'anyiro hicho.

  • Jumanne Kuu na mustakbali wa uchaguzi wa Wademocrat nchini Marekani

    Jumanne Kuu na mustakbali wa uchaguzi wa Wademocrat nchini Marekani

    Mar 05, 2020 08:36

    Siku muhimu zaidi katika kalenda ya uchaguzi wa mchujo wa urais wa Marekani ambayo imepewa jina la Jumanne Kuu katika kambi ya chama cha Democrats imemalizika kwa ushindi wa Joe Biden ambaye inaonekana ndiye atakayekabidhiwa bendera ya chama hiyo kwa ajili ya kupambana na Donald Trump katika uchaguzi wa mwishoni mwa mwaka huu wa 2020.

  • Trump aweka rekodi ya kuandika na kutuma jumbe 125 za Twitter katika siku moja

    Trump aweka rekodi ya kuandika na kutuma jumbe 125 za Twitter katika siku moja

    Jan 23, 2020 04:47

    Rais Donald Trump wa Marekani ameweka rekodi katika urais wake ya kupitisha muda mwingi katika mtandao wa kijamii anaopendelea kuutumia wa Twitter baada ya kuandika na kutuma jumbe 125 hapo jana sambamba na kuanza rasmi kesi ya kutaka kumuuzulu katika Seneti ya nchi hiyo.

  • Biden aongoza katika kura za maoni za kushinda nafasi ya kuongombea uchaguzi wa chama cha Democrat

    Biden aongoza katika kura za maoni za kushinda nafasi ya kuongombea uchaguzi wa chama cha Democrat

    Jan 02, 2020 23:21

    Matokeo mapya ya kura ya maoni ndani ya chama cha Democrat nchini Marekani yanamuonyesha Joe Biden, makamu wa rais wa zamani kuwa anayeongoza washindani wengine wa chama hicho.

  • Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington

    Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington

    Dec 11, 2019 22:46

    Uhusiano wa Marekani na Russia hususan baada ya kuibuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, unashuhudia mivutano mingi ambapo Washington mbali na kukabiliana na Moscow katika uga wa masuala ya kiusalama, kijeshi na kisiasa pia imeiwekea mashinikizo makali Russia katika nyuga tofauti za kisiasa, kidiplomasia, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, mauzo ya silaha na nishati.

  • Mgombea urais Marekani: Nikishinda uchaguzi nitairejesha Marekani JCPOA na kuiondolea Iran vikwazo

    Mgombea urais Marekani: Nikishinda uchaguzi nitairejesha Marekani JCPOA na kuiondolea Iran vikwazo

    Sep 20, 2019 23:34

    Mgombea urais wa chama cha Democrat kwenye duru ya mwanzo katika uchaguzi wa rais nchini Marekani amesema kuwa iwapo ataibuka mshindi kwenye uchaguzi huo, basi atairejesha nchi hiyo kwenye makubaliano ya nyuklia yanayoitwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), sambamba na kuiondolea Iran vikwazo ilivyowekewa.

  • Moscow yatahadharisha kuhusu tuhuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2020

    Moscow yatahadharisha kuhusu tuhuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2020

    Jul 03, 2019 22:11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amewaambia wabunge wa Marekani kwamba Moscow inapinga uingiliaji kati wowote katika uchaguzi ujao wa Rais wa Marekani.

  • Malalamiko ya Wademocrat wa Marekani kwa ripoti ya Mike Mueller

    Malalamiko ya Wademocrat wa Marekani kwa ripoti ya Mike Mueller

    Mar 26, 2019 22:08

    Ushindi wa ghafla na uliojaa utata alioupata Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwezi Novemba 2016 ulipokewa kwa hasira kubwa na chama cha Democrat cha nchi hiyo.

  • Hillary Clinton: Uchaguzi wa Marekani unatawaliwa na mfumo dume

    Hillary Clinton: Uchaguzi wa Marekani unatawaliwa na mfumo dume

    Dec 18, 2018 23:19

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton ameushambulia mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo akiutaja kuwa unatawaliwa na mfumo dume.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS