-
Mali yasema Ufaransa inasaidia magaidi, yaitisha kikao Baraza la Usalama
Aug 18, 2022 02:59Mali imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa dharura ili kusitisha kile inachokitaja kuwa ni "vitendo vya uchokozi" vinavyofanywa na Ufaransa kwa kukiuka mamlaka yake, kuunga mkono makundi ya magaidi wakufurishaji na ujasusi.
-
Ukomo wa uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa nchini Mali
Aug 16, 2022 07:43Sambamba na kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Mali, hatimaye Paris imetangaza ukomo wa uwepo wa wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi wa mwisho wa Ufaransa waondoka Mali
Aug 16, 2022 03:13Mabaki ya wanajeshi wa Ufaransa waliondoka nchini Mali jana Jumatatu, kuashiria mwisho wa Operesheni ya Barkhane katika nchi hiyo ya eneo la Sahel barani Afrika.
-
Umoja wa Mataifa walaani Ufaransa kwa kupiga marufuku hijabu ya wanawake wa Kiislamu
Aug 05, 2022 23:20Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa karibuni na Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa Ufaransa imekiuka Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa kwa kumzuia mwanamke mmoja aliyekuwa amevalia hijabu kushiriki kwenye kozi ya elimu ya watu wazima iliyofanyika katika shule moja ya upili nchini humo.
-
Safari ya Mohammed bin Salman nchini Ufaransa; haki za binadamu zilizosahaulika
Jul 31, 2022 00:34Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman aliwasili mjini Paris siku ya Alhamisi Julai 28, na kukaribishwa vizuri na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.
-
Macron akosolewa kwa 'kumtandikia zulia jekundu muuaji wa Khashoggi'
Jul 29, 2022 23:16Wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wamemkosoa vikali Rais Emmanuel Macron wa Ufarasa kwa kumpokea Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ambaye anatuhumiwa kutoa amri ya kuuawa mwanahabari Jamal Khashoggi, huko nchini Uturuki miaka 4 iliyopita.
-
Raisi: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilitia doa muamana wa kisiasa
Jul 23, 2022 22:57Rais wa Iran amesema azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lilikuwa na taathira hasi kwa muamana na irada ya kisiasa ya pande husika.
-
Mwisho wa uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa nchini Mali
Jul 03, 2022 23:41Sambamba na kuendelea kwa mvutano kati ya Ufaransa na Mali, hatimaye Paris imetangaza ukomo wa kuwepo kwa vikosi vya askari wa nchi za Ulaya vinavyojulikana kama Takuba, nchini Mali. Vikosi vya jeshi la Ufaransa vimekuwepo nchini Mali kwa takriban miaka 10 kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
Kuendelea mtikisiko katika soko la nishati, Russia yaikatia gesi Ufaransa
Jun 19, 2022 22:03Huku vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi kuwekewa Moscow, mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhaminia nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo muhimu.
-
Ufaransa yaendelea kuondoa wanajeshi wake nchini Mali
Jun 14, 2022 22:11Ufaransa imeendelea kuwaondoa wanajeshi wake nchini Mali, sambamba na kukabidhi kambi yake ya kijeshi ya Menaka kwa vikosi vya nchi hiyo ya Afrika Magharibi.