-
Watoto 700 wanalala katika barabara za mitaa ya Paris, Ufaransa
Nov 21, 2019 03:26Jumuiya 12 zinazojihusisha na watoto wasiokuwa na makazi nchini Ufaransa zimefichua kwamba, watoto wadogo 700 wanaishi pamoja na familia zao katika barabara za mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Wanafunzi wa vyuo vikuu Ufaransa wajawa na ghadhabu baada ya mwanafunzi mmoja kujichoma moto
Nov 13, 2019 04:51Kitendo cha mawanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Lyon nchini Ufaransa kujichoma moto na upuuzaji wa serikali ya Rais Emmanuel Macron kuhusiana na tukio hilo, kimewaghadhibisha mno wanafunzi wa vyuo vikuu wa nchi hiyo.
-
Maelfu ya Waislamu waandamana Ufaransa kupinga chuki dhidi ya Uislamu
Nov 11, 2019 09:18Maelfu ya watu wameshiriki maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Rais Emmanuel Macron: Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo
Nov 08, 2019 04:48Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa sambamba na kuonyesha wasi wasi wake kuhusiana na iwapo Marekani itaendeleza ahadi zake katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO amesema kuwa, shirika hilo limekumbwa na kifo cha ubongo.
-
Waislamu wa Ufaransa ni wahanga wa ubaguzi wa kidini
Nov 07, 2019 09:13Karibu nusu ya Waislamu wanaoishi nchini Ufaransa, ni wahanga wa vitendo vya ubaguzi.
-
Kinara wa magaidi wakufurishaji auawa nchini Mali
Nov 06, 2019 04:17Kinara wa magaidi wakufurishaji wanaofungamana na mtandao wa Al Qaeda ameuawa nchini Mali katika oparesheni ya vikosi vya usalama.
-
Rais wa Ufaransa atuhumiwa kueneza chuki dhidi ya Waislamu
Nov 04, 2019 23:01Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametuhumiwa kuhusika na kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Mripuko wa bomu waua askari wa Ufaransa nchini Mali
Nov 03, 2019 04:25Mwanajeshi wa Ufaransa ameuawa katika mripuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara karibu na eneo la Menaka mashariki mwa Mali.
-
Uturuki: Ufaransa na Israel zilitaka kuunda 'dola la kigaidi' Syria
Nov 02, 2019 09:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Ufaransa na utawala wa Kizayuni wa Israel zilikuwa na hamu kubwa ya kuunda dola la kigaidi ndani ya ardhi ya Syria.
-
Wanawake wanaovaa hijabu Ufaransa wapigwa marufuku kuandamana na watoto wao katika safari za kishule
Oct 31, 2019 04:12Baraza la Seneti la Ufaransa limepasisha muswada ambao unawapiga marufuku akina mama wanaovaa hijabu kuandamana na watoto wao katika safari za kishule.