-
Shambulizi dhidi ya msikiti Ufaransa; watu wawili wapigwa risasi
Oct 29, 2019 00:11Watu wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi nje ya msikiti mmoja katika mji wa Bayonne, kusini magharibi mwa Ufaransa.
-
Miji mbalimbali ya Ufaransa yashuhudia mikusanyiko ya kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu
Oct 28, 2019 08:32Miji mbalimbali ya Ufaransa imeshuhudia mikusanyiko mikubwa ya kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Baruapepe zafichua siri ya namna Ufaransa ilivyohusika katika mauaji ya Gaddafi
Oct 20, 2019 23:09Baruapepe elfu tatu zilizotumwa kwa siri kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani zimefichua namna Ufaransa ilivyohusika katika mauaji ya kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi.
-
Kuuziwa silaha Saudi Arabia; mwendelezo wa siasa za kindumakuwili za madola ya Ulaya mkabala na vita vya Yemen
Oct 11, 2019 08:51Katika hali ambayo, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ungali unaendelea kufanya mauaji huko nchini Yemen, na madola ya Magharibi nayo yameendelea kuiimarisha kijeshi Riyadh kutokana na kuipatia silaha na zana za kijeshi, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amejitoa kimasomaso na kuzitaka Saudia na Imarati kutotumia katika vita vyao huko Yemen silaha zilizotengenezwa nchini Ufaransa kwani kufanya hivyo kunaweza kupelekea kuuawa raia.
-
Sarkozy akabiliwa na kifungo cha mwaka mmoja jela
Oct 03, 2019 00:45Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy anakabiliwa na kifungo na faini iwapo mashtaka yanayomkabili yatathibitishwa na mahakama ya nchi hiyo.
-
Al Sarraj ataka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya
Sep 26, 2019 23:08Waziri Mkuu na Mkuu wa baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka kusitishwa uingiliaji wa Imarati, Misri na Ufaransa katika masuala ya ndani ya nchi yake.
-
Hatua mpya za Marekani dhidi ya JCPOA; kupinga mpango wa Ufaransa na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran
Sep 05, 2019 21:55Rais Donald Trump wa Marekani alisikika mara kadha wa kadha akiyakosoa vikali makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hatimaye mnamo tarehe 8 Mei, 2018 akatangaza rasmi kujitoa nchi yake katika makubaliano hayo. Kilichofuata baada ya hapo, ilikuwa ni kutekelezwa na serikali ya Trump katika awamu mbili tofauti vikwazo vikali dhidi ya Iran sambamba na kupinga mpango wowote wa kuyalinda makubaliano hayo ya nyuklia.
-
Ripoti ya UN: Marekani, Uingereza na Ufaransa zinahusika kutenda jinai za kivita nchini Yemen
Sep 04, 2019 08:10Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wameandaa orodha ya siri ya watuhumiwa wa kimataifa waliohusika na jinai za kivita nchini Yemen inayoonyesha kuwa Marekani na nchi kadhaa za Ulaya zimehusika pia katika jinai hizo kwa kuuzuia silaha muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Amnesty International yaikosoa Ufaransa kwa kuendelea kuziuzia silaha Saudia na Imarati
Sep 01, 2019 08:31Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeikosoa vikali serikali ya Ufaransa kutokana na hatua yake ya kuendelea kuziuzia silaha Saudi Arabia na Imarati.
-
Rais wa Ufaransa akiri: Kipindi cha ubeberu wa Magharibi kimemalizika
Aug 27, 2019 22:29Rais wa Ufaransa amekiri kuwa kipindi cha ubeberu wa nchi za Magharibi duniani kimefikia tamati.