Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Ukosoaji wa Mkuu wa Baraza Ulaya dhidi ya siasa za kuzusha mizozo za Rais Donald Trump

    Ukosoaji wa Mkuu wa Baraza Ulaya dhidi ya siasa za kuzusha mizozo za Rais Donald Trump

    Aug 26, 2019 03:45

    Siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani katika nyanja mbalimbali hususan kuiondoa Washington katika mikataba na makubaliano ya kimataifa kama ya nyuklia ya JCPOA, mkataba wa mabadiliko ya tabianchi wa Paris Ufaransa na vilevile hatua yake ya kung'ang'ania kuwa na vita vya kibiashara na madola mengine makubwa kiuchumi duniani, ni mambo ambayo yamepelekea kuibuka mizozo mikubwa katika uga wa kimataifa.

  • Rais wa Ufaransa akabidhiwa jukumu la kufikisha ujumbe wa G7 kwa Iran

    Rais wa Ufaransa akabidhiwa jukumu la kufikisha ujumbe wa G7 kwa Iran

    Aug 25, 2019 08:31

    Kundi la G7 linaloundwa na madola saba makubwa ya viwanda duniani limemkabidhi Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa jukumu la kufikisha ujumbe na kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA

    Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA

    Aug 25, 2019 08:21

    Mivutano iliyopo baina ya Marekani na nchi za Ulaya zilizomo katika kundi la 4+1 kuhusiana na jinsi ya kuamiliana na Iran na kadhia nzima ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA bado ni moja ya mivutano mikubwa ya pande hizo mbili. Katika wiki za hivi karibuni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alifanya mazungumzo mbalimbali na marais wa Iran na Marekani na kuja na mapendekezo ya kupunguza wasiwasi uliopo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Ufaransa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Ufaransa

    Aug 23, 2019 22:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ufaransa mjini Paris.

  • Macron: Sina matumaini yoyote na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne

    Macron: Sina matumaini yoyote na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne

    Aug 23, 2019 02:32

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa hata matumani yoyote ya kufanikiwa mpango wa Muamala wa Karne wa rais wa Marekani Donald Trump.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar

    Aug 22, 2019 22:01

    Maafisa wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya wamefichua kuwa kundi moja la jeshi la Ufaransa linalomsaidia jenerali mstaafu Khalifa Haftar limewajengea wapiganaji wa kiongozi huyo muasi kituo cha kurushia ndege zisizo na rubani katika bandari ya mafuta ya al Sidr huko kaskazini mwa Libya.

  •  Wafaransa wataka uchunguzi ufanyike kadhia ya kujiuwa bilionea wa Kimarekani

    Wafaransa wataka uchunguzi ufanyike kadhia ya kujiuwa bilionea wa Kimarekani

    Aug 13, 2019 07:30

    Mawaziri kadhaa wa Ufaransa wametaka kuanza uchunguzi nchini humo kuhusu bilionea wa Kimarekani ambaye ametajwa kuwa alikuwa akijihusisha na magendo ya kuwauza wasichana na mabinti kwa ajili ya biashara ya ngono; bilionea ambaye alikuwa akimfadhili kifedha Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Ufaransa yatahadharisha kuhusu hatua ya Marekani ya kujiondoa katika mkataba wa silaha wa INF

    Ufaransa yatahadharisha kuhusu hatua ya Marekani ya kujiondoa katika mkataba wa silaha wa INF

    Aug 03, 2019 07:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imetangaza kuwa kujiondoa Marekani katika mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) kunazidisha hatari kwa usalama na amani ya Ulaya.

  • Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA

    Jul 19, 2019 01:58

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba, juhudi za Paris za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu na kusisitiza kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kuweka wazi njia zote za kuhakikisha makubaliano hayo yanalindwa.

  • Maandamano ya Vizibao Vyeusi Paris, wakimbizi wa Kiafrika wataka kupewa vibali

    Maandamano ya Vizibao Vyeusi Paris, wakimbizi wa Kiafrika wataka kupewa vibali

    Jul 13, 2019 06:18

    Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika wanaojulikana kwa jila la Harakati ya Vizibao Vyeusi wamefanya maandamano mjini Paris wakitaka kupewa vibali vya kuishi nchini Ufaransa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS