Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Onyo la Jean-Yves Le Drian kwa Donald Trump: Acha kuingilia mambo ya ndani ya Ufaransa

    Onyo la Jean-Yves Le Drian kwa Donald Trump: Acha kuingilia mambo ya ndani ya Ufaransa

    Dec 09, 2018 23:30

    Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Ufaransa amemuonya Rais Donald Trump wa Marekani na kumtaka aache kuingilia masuala ya ndani ya Ufaransa.

  • Watu 1400 wakamatwa Ufaransa katika maandamano ya 'vizibao vya njano'

    Watu 1400 wakamatwa Ufaransa katika maandamano ya 'vizibao vya njano'

    Dec 09, 2018 04:07

    Watu zaidi ya 1400 wamekamatwa kote Ufaransa huku polisi na wanajeshi wakipamabana na waandamanaji wanaojulikana kama waandamanaji wa Vizibao vya Njano, ambao wanaendeleza malalamiko kuhusu ughali wa maisha.

  • Mji wa Paris ni kama medani ya vita, polisi wapambana na waandamanaji

    Mji wa Paris ni kama medani ya vita, polisi wapambana na waandamanaji

    Dec 08, 2018 12:00

    Mji mkuu wa Ufaransa, Paris, leo umegeuka kuwa kama medani ya vita huku waandamanaji wanaojulikana kama 'waandamanaji wa vizibao vya njano, wakiendeleza malalamiko kuhusu ughali wa maisha.

  • Jeshi la Ufaransa laingia mitaani kukabiliana na maandamano ya wananchi, machafuko yanaendelea

    Jeshi la Ufaransa laingia mitaani kukabiliana na maandamano ya wananchi, machafuko yanaendelea

    Dec 07, 2018 00:57

    Maelfu ya wanajeshi wa Ufaransa wanapelekwa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo hususan katika mji mkuu, Paris kwa ajili ya kukabiliana na waandamanaji wanaopinga siasa za kiuchumi za serikali ya Rais Emmanuel Macron.

  • Utafiti: Ubaguzi wa rangi umeongezeka duniani

    Utafiti: Ubaguzi wa rangi umeongezeka duniani

    Dec 05, 2018 12:55

    Taasisi kwa ajili ya Uchumi na Amani (IEP) imeeleza katika ripoti yake mpya kuwa, idadi ya waathirika wa vitendo vya ubaguzi wa rangi iliongezeka na takwimu za watu waliouawa kutokana na mashambulio ya kigaidi ilipungua katika mwaka uliopita wa 2017.

  • Kupinga Baraza la Seneti la Ufaransa ongezeko la ushuru wa fueli; kulegeza kamba mbele ya 'Harakati ya Vizibao vya Njano

    Kupinga Baraza la Seneti la Ufaransa ongezeko la ushuru wa fueli; kulegeza kamba mbele ya 'Harakati ya Vizibao vya Njano

    Dec 04, 2018 21:39

    Kuendelea Harakati ya wananchi nchini Ufaransa inayojulikana kama ya Vizibao vya Njano ambayo ilianza nchini humo tangu Novemba 17 mwezi uliopita na kuitumbukiza nchi hiyo katika machafuko na malalamiko, kumewafanya viongozi wa Paris walegeze kamba na kukukubali baadhi ya matakwa ya harakati hiyo.

  • Asilimia 72 ya Wafaransa wanaunga mkono maandamano ya upinzani dhidi ya serikali ya Macron

    Asilimia 72 ya Wafaransa wanaunga mkono maandamano ya upinzani dhidi ya serikali ya Macron

    Dec 03, 2018 23:41

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Ufaransa umeonyesha kuwa, zaidi ya theluthi mbili ya raia wa nchi hiyo wanaunga mkono maandamano ya karibuni ya kupinga sera za kiuchumi za serikali ya Rais Emmanuel Macron.

  • Maandamano makubwa ya wananchi Ufaransa, serikali ya Macron katika mgogoro mkubwa + Video

    Maandamano makubwa ya wananchi Ufaransa, serikali ya Macron katika mgogoro mkubwa + Video

    Dec 03, 2018 23:39

    Hali ya Ufaransa ni ya mgogoro hivi sasa kutokana na kushadidi malalamiko ya wananchi na serikali kutumia nguvu kupita kiasi kujaribu kukandamiza maandamano ya wananchi hao. Awali Rais Emmanuel Macron alikuwa ameng'ang'ani msimamo wake wa kutozungumza na waandamanaji, lakini hatimaye amelazimika kuruhusu mazungumzo.

  • Serikali ya Ufaransa yazidi kukandamiza raia wake + Video

    Serikali ya Ufaransa yazidi kukandamiza raia wake + Video

    Dec 02, 2018 04:32

    Polisi nchini Ufaransa wanaendelea kutumia nguvu kupita kiasi kukandamiza wananchi wanaopinga mfumo wa kibepari.

  • Wafaransa wawafundisha magaidi namna ya kutumia silaha za kemikali nchini Syria

    Wafaransa wawafundisha magaidi namna ya kutumia silaha za kemikali nchini Syria

    Nov 22, 2018 11:15

    Shirika la habari la Sputnik limenukuu duru moja ya kuaminika ikisema kuwa wataalamu wa kemikali wa Ufaransa wanawafundisha magaidi mbinu za kutumia silaha za kemikali nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS