-
Mwanamke auawa katika maandamano ya kulalamikia ughali wa mafuta Ufaransa
Nov 18, 2018 03:41Mwanamke mmoja ameuawa katika maandamano makubwa ya kulalamikia ughali wa mafuta ya petroli kote Ufaransa siku ya Jumamosi.
-
Ufaransa yataka kusimamishwa vita vya Saudia dhidi ya Yemen
Nov 13, 2018 03:35Katika hatua iliyochukuliwa kwa kuchelewa ya nchi za Magharibi kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia huko Yemen, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaka jamii ya kimataifa kukomesha vita na mashambulizi ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Nov 12, 2018 04:07Waziri wa Ufaransa anayehusika na masuala ya Ulaya amesisitiza kuwa Paris inaheshimu na kufungamana na Makubaliano ya Nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji yaani JCPOA.
-
Watu sita watiwa mbaroni Ufaransa kwa kujaribu kumshambulia Rais Emmanuel Macron
Nov 07, 2018 04:07Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimetangaza kwamba watu sita wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kupanga shambulizi dhidi ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo.
-
Seneti ya Ufarasa: Ulaya inapasa kusimama imara kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran
Nov 01, 2018 04:36Kamisheni ya Masuala ya Ulaya katika Seneti ya Ufaransa imesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni mtihani mkubwa kwa nguvu ya kisheria na kiuchumi ya Ulaya na kusisitiza kuwa nchi za bara hilo zinapasa kukabiliana vilivyo na changamoto hiyo.
-
Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Oct 26, 2018 04:45Vyombo vya habari vimefichua picha za video zinazoonesha waziwazi nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari yaliyofanyika Rwanda mwaka 1994.
-
UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa
Oct 23, 2018 10:03Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeijia juu serikali ya Ufaransa kwa kupiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Uingereza, Ujerumani na Ufaransa zatoa taarifa ya pamoja kulaani mauaji ya Khashoggi
Oct 22, 2018 04:09Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa wametoa taarifa ya pamoja na kulaani kuuliwa mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia.
-
Ufaransa yafanya njama za kujipenyeza zaidi bara la Afrika
Oct 20, 2018 23:05Ufaransa na katika fremu ya kupenyeza zaidi ndani ya bara la Afrika imetangaza utayarifu wake kwa ajili ya kupambana na kile kilichosemwa kuwa ni ugaidi.
-
AI yailaumu Ufaransa kwa kuiuzia silaha serikali ya Misri
Oct 17, 2018 03:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limeikosoa vikali Ufaransa na nchi nyingine kadhaa za Ulaya kwa kuendelea kuiuzia silaha serikali ya Misri na kusema kwamba, zimekiuka maamuzi ya Umoja wa Ulaya ya kupiga marufuku kuiuzia silaha serikali ya Cairo.