Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike

    Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Oct 15, 2018 00:17

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wametoa taarifa ya pamoja wakiitaka Saudi Arabia na Uturuki zifanye "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud.

  • JCPOA, fursa kwa ajili ya kujitegemea kifedha Ulaya

    JCPOA, fursa kwa ajili ya kujitegemea kifedha Ulaya

    Oct 06, 2018 22:56

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akikosoa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo na Marekani yenyewe na kuyatataja makubaliano hayo kuwa ndiyo mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.

  • Ufaransa: Marekani haina haki ya kuchukua maamuzi kwa niaba ya Ulaya

    Ufaransa: Marekani haina haki ya kuchukua maamuzi kwa niaba ya Ulaya

    Oct 06, 2018 03:46

    Waziri wa Fedha wa Ufaransa amesema kuwa, Marekani haiwezi kuchukua maamuzi kuhusiana na ushirikiano wa kibiashara wa nchi za Ulaya na Iran na kuongeza kuwa, vikwazo vya serikali ya Washington dhidi ya Iran ni fursa kwa Ulaya kwa ajili ya kuanzisha taasisi zinazojitegemea za kifedha.

  • Polisi wa Ufaransa wavamia kituo cha Kiislamu cha Zahraa (as) mjini Paris

    Polisi wa Ufaransa wavamia kituo cha Kiislamu cha Zahraa (as) mjini Paris

    Oct 02, 2018 23:11

    Polisi ya Ufaransa imevamia ofisi ya jumuiya ya Waislamu ya Zahraa (as) na nyumba za wanachama wa jumuiya hiyo na kuwatia mbaroni watu 11.

  • Kamanda wa polisi wa Saudia anashikiliwa Ufaransa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Kamanda wa polisi wa Saudia anashikiliwa Ufaransa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Oct 02, 2018 12:09

    Vyombo vya mahakama nchini Ufaransa vinafuatilia mashtaka dhidi ya afisa mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi la Saudia kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamke mmoja wa nchi hiyo.

  • Venezuela yaikosoa Ufaransa kwa kupanga njama za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali

    Venezuela yaikosoa Ufaransa kwa kupanga njama za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali

    Oct 01, 2018 04:35

    Serikali ya Venezuela imekosoa njama za Ufaransa za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali ya Caracas na kadhalika uingiliaji wa Paris katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Alkhamisi, 27 Septemba,  2018

    Alkhamisi, 27 Septemba, 2018

    Sep 26, 2018 23:17

    Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 27, mwaka 2018.

  • Wanasheria wa Algeria: Ufaransa inapasa kuwalipa fidia wahanga wa ukoloni nchini Algeria

    Wanasheria wa Algeria: Ufaransa inapasa kuwalipa fidia wahanga wa ukoloni nchini Algeria

    Sep 16, 2018 02:59

    Mwanasheria mmoja wa haki za binadamu nchini Algeria ametaka Paris ilipe gharama na fidia kufuatia kukiri serikali ya Ufaransa kuwatesa na kuwaua wale wote waliokuwa wakiunga mkono mapinduzi ya Algeria.

  • Mapambano dhidi ya ugaidi, Iran haitalegeza kamba

    Mapambano dhidi ya ugaidi, Iran haitalegeza kamba

    Sep 14, 2018 19:26

    Mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) dhidi ya makao ya magaidi huko kaskazini mwa Iraq yameonesha tena kwamba, kinyume na baadhi ya nchi za Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina misimamo ya wazi kuhusu suala la kupambana na ugaidi na kwamba haitalegeza kamba wala kulegalega katika kulinda usalama wa taifa, ardhi yake na vitisho vya kijeshi.

  • Jumanne tarehe 4 Septemba 2018

    Jumanne tarehe 4 Septemba 2018

    Sep 04, 2018 01:11

    Leo ni Jumanne tarehe 23 Dhulhija 1439 Hijria inayosadifiana na Septemba 4, 2018.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS