-
Jumanne tarehe 17 Julai 2018
Jul 16, 2018 22:28Leo ni Jumanne tarehe 03 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Julai 17, 2018.
-
Ulimwengu wa Spoti, Julai 16
Jul 16, 2018 02:53Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, haswa kufikia tamati michuano ya Kombe la Dunia Russia....
-
Ufaransa yatwaa Kombe la Dunia 2018
Jul 15, 2018 13:58Timu ya taifa ya soka ya Ufaransa imetwaa Kombe la Dunia la soka baada ya kuigaragaza Croatia mabao 4-2 katika mchezo wa fainali uliokuwa wa kusisimua.
-
Indhari kali ya Ufaransa dhidi ya siasa za kibiashara za Trump
Jul 15, 2018 05:35Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amekosoa siasa za kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuuhusu Umoja wa Ulaya.
-
Waziri wa Fedha wa Ufaransa: EU ichukue hatua za haraka kukabiliana na vikwazo vya Marekani
Jul 14, 2018 23:17Waziri wa Fedha wa Ufaransa amezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kuchukua hatua za haraka kwa ajili ya kulinda mfumo wa kiuchumi wa nchi hizo katika vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Iran yasema uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujilinda
Jul 07, 2018 03:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa hatua ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujihami.
-
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Ufaransa iache kuiuzia silaha Misri
Jul 02, 2018 03:13Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu yameitaka serikali ya Ufaransa kusimamisha uuzaji wa silaha kwa Misri, yakisisitiza kuwa silaha hizo zinatumiwa na vyombo vya usalama kuwanyamazisha na kuwawekea mbinyo wapinzani na wakosoaji wa serikali.
-
Iran yailalamikia Ufaransa kwa kuwahami na kuwafadhili magaidi wa MKO
Jun 20, 2018 22:41Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ameilalamikia serikali ya Ufaransa kwa kuwafadhili, kuwahami na kuwaruhusu magaidi wa MKO kufanya shughuli zao nchini humo licha ya magaidi hao kuwa na historia chafu ya kufanya ugaidi ndani na nje ya Iran.
-
Gazeti la Ufaransa lafichua kuwa, askari wa nchi hiyo wanashirikiana na Imarati kuishambulia Yemen
Jun 16, 2018 21:02Gazeti moja la Ufaransa limefichua kuwa, askari maalumu wa nchi hiyo wamekuwa wakishirikiana na askari wa Imarati katika vita dhidi ya Yemen.
-
Shirika la Renault: Tutabakia nchini Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 15, 2018 23:33Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kutengeneza magari la Renault la Ufaransa amesema kuwa shirika hilo litaendelea kufanya shughulia zake nchini Iran licha ya kurejeshwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.