-
Iran yasema uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujilinda
Jul 07, 2018 03:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa hatua ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujihami.
-
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Ufaransa iache kuiuzia silaha Misri
Jul 02, 2018 03:13Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu yameitaka serikali ya Ufaransa kusimamisha uuzaji wa silaha kwa Misri, yakisisitiza kuwa silaha hizo zinatumiwa na vyombo vya usalama kuwanyamazisha na kuwawekea mbinyo wapinzani na wakosoaji wa serikali.
-
Iran yailalamikia Ufaransa kwa kuwahami na kuwafadhili magaidi wa MKO
Jun 20, 2018 22:41Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ameilalamikia serikali ya Ufaransa kwa kuwafadhili, kuwahami na kuwaruhusu magaidi wa MKO kufanya shughuli zao nchini humo licha ya magaidi hao kuwa na historia chafu ya kufanya ugaidi ndani na nje ya Iran.
-
Gazeti la Ufaransa lafichua kuwa, askari wa nchi hiyo wanashirikiana na Imarati kuishambulia Yemen
Jun 16, 2018 21:02Gazeti moja la Ufaransa limefichua kuwa, askari maalumu wa nchi hiyo wamekuwa wakishirikiana na askari wa Imarati katika vita dhidi ya Yemen.
-
Shirika la Renault: Tutabakia nchini Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 15, 2018 23:33Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kutengeneza magari la Renault la Ufaransa amesema kuwa shirika hilo litaendelea kufanya shughulia zake nchini Iran licha ya kurejeshwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ufaransa yamkosoa Trump, yasema ni mtu mwenye migongano
Jun 10, 2018 22:47Ofisi ya Rais wa Ufaransa imetangaza kuwa mienendo ya Rais Donald Trump wa Marekani katika mkutano wa nchi saba zilizopiga hatua kiviwanda maarufu kama G7 si thabiti na inagonga na kukinzana.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 37 + Sauti
Jun 03, 2018 10:53Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 37 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 36 na sauti
Jun 03, 2018 10:41Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 36 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Msuguano katika Uhusiano wa Ufaransa na Saudi Arabia
May 30, 2018 03:34Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa amedai kuwa alikuwa na nafasi muhimu katika utatuzi wa mgogoro wa Lebanon mwaka jana. Aidha amefichua kuwa, Saudi Arabia ilikuwa imemkamata kwa wiki kadhaa Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri.
-
Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo
May 29, 2018 03:47Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.