Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Polisi ya Uganda yasema imemkamata Bobi Wine kwa kuvaa magwanda ya kijeshi

    Polisi ya Uganda yasema imemkamata Bobi Wine kwa kuvaa magwanda ya kijeshi

    Oct 15, 2020 04:00

    Vyombo vya usalama nchini Uganda vimesema lengo la kuvamia makao makuu ya chama cha upinzani cha NUP na kumtia mbaroni Bobi Wine, kinara wa chama hicho anayetazamiwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ni kukusanya magwanda ya kijeshi yanayovaliwa na wafuasi wa chama hicho.

  • Rais wa Uganda atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake + SAUTI

    Rais wa Uganda atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake + SAUTI

    Oct 12, 2020 12:25

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda Atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara kubwa ya lami ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini, licha ya Uganda yenyewe kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi hivi sasa.

  • Sekta ya usafiri Uganda yalalamikia kubanwa mno wakati wa corona

    Sekta ya usafiri Uganda yalalamikia kubanwa mno wakati wa corona

    Oct 02, 2020 15:07

    Serikali ya Uganda imezidi kupunguza masharti yanayohusiana na ugonjwa wa COVID-19 lakini pamoja na hayo, sekta ya usafiri imekumbwa na changamoto nyingi. Mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail, na maelezo zaidi.

  • EACJ yatupilia mbali faili la ukomo wa urais nchini Uganda

    EACJ yatupilia mbali faili la ukomo wa urais nchini Uganda

    Sep 30, 2020 10:11

    Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali faili lililowasilishwa kwake la kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, wa kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • Sala za Ijumaa zaanza upya nchini Uganda + Sauti

    Sala za Ijumaa zaanza upya nchini Uganda + Sauti

    Sep 26, 2020 01:30

    Sala za Ijumaa zimeanza tena nchini Uganda baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na maambukizi ya kirusi cha corona. Katika hotuba za jana Ijumaa, Waislamu nchini humo walihimizwa kumtii Mola Karima na kuomba kusamehewa madhambi yao. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.

  • Uganda ina hamu ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi, sayansi na Iran

    Uganda ina hamu ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi, sayansi na Iran

    Sep 24, 2020 03:42

    Spika wa Bunge la Uganda, Rebecca Kadaga amepongeza uhusiano wa kidugu uliopo baina ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, kuna umuhimu wa kuimarishwa zaidi uhusiano huo katika nyuga za uchumi, sayansi na teknolojia baina ya Kampala ya Tehran.

  • Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa waliotoroka katika jela ya Moroto + SAUTI

    Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa waliotoroka katika jela ya Moroto + SAUTI

    Sep 18, 2020 09:04

    Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa katika msako wa kuwanasa wafungwa zaidi ya 219 waliotoroka jela ya Moroto wakiwa na bunduki 15

  • Makumi ya wafungwa watoroka jela nchini Uganda

    Makumi ya wafungwa watoroka jela nchini Uganda

    Sep 17, 2020 03:40

    Makumi ya wafungwa wametoroka jela katika wilaya ya Moroto, kaskazini mashariki mwa Uganda na kukimbilia kusikojulikana.

  • UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia

    UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia

    Sep 01, 2020 03:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewapa medali ya heshima wanajeshi 600 wa Uganda wanaolinda taasisi na wafanyakazi wa UN nchini Somalia.

  • Watoto 10 wafa kwa kupigwa na radi nchini Uganda

    Watoto 10 wafa kwa kupigwa na radi nchini Uganda

    Aug 29, 2020 02:24

    Watoto kumi wameaga dunia baada ya kupigwa na radi wakati wakicheza mpira wa miguu katika mji wa Arua, kaskazini magharibi mwa Uganda.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS