Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI

    Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI

    Aug 21, 2020 11:18

    Ikiwa imesalia miezi mitano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa pande zote nchini humo wamezidi kutupiana lawama nzito.

  • Bobi Wine asema Polisi Uganda wamefyatua risasi kuwatawanya wafuasi wake

    Bobi Wine asema Polisi Uganda wamefyatua risasi kuwatawanya wafuasi wake

    Aug 09, 2020 03:27

    Bobi Wine, nyota wa muziki na mwanasiasa machachari anayetazamiwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao nchini Uganda amesema baadhi ya wafuasi wake walijeruhiwa hapo jana baada ya polisi kufyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi kutawanya umati wa watu huko mashariki mwa nchi hiyo.

  • Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama + SAUTI

    Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama + SAUTI

    Jul 28, 2020 12:37

    Serikali ya Uganda imesema, kutokana na sababu za kiusalama, haitaruhusu wakimbizi wa kila aina kuingilia kiholela nchini humo.

  • Masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali Uganda yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti corona yamelegezwa+Sauti

    Masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali Uganda yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti corona yamelegezwa+Sauti

    Jul 23, 2020 00:32

    Serikali ya Uganda imelegeza masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali nchini humo yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti maambukizo ya virusi vya Corona

  • EACJ yaanza kusikiliza kesi ya ukomo wa urais nchini Uganda

    EACJ yaanza kusikiliza kesi ya ukomo wa urais nchini Uganda

    Jul 16, 2020 03:10

    Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki EACJ imeanza kusikiliza kesi ya kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, ya kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo, wa miaka 75.

  • EABC yazitaka nchi zote za Afrika Mashariki kufungua anga zao, kuruhusu utalii na biashara

    EABC yazitaka nchi zote za Afrika Mashariki kufungua anga zao, kuruhusu utalii na biashara

    Jul 14, 2020 08:38

    Baraza la Biashara la Nchi za Afrika Mashariki (EABC), limezisihi nchi zote za kanda hiyo kufuata mfano wa Tanzania kwa kufungua anga zao ili kuruhusu safari za kimataifa kuingia na kutoka katika nchi zote za kanda hiyo.

  • Wapinzani Uganda walalamikia kukandamizwa wakati huu wa kukaribia uchaguzi mkuu + Sauti

    Wapinzani Uganda walalamikia kukandamizwa wakati huu wa kukaribia uchaguzi mkuu + Sauti

    Jul 14, 2020 01:47

    Ikiwa imebakia miezi saba hadi kufanyika Uchaguzi Mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa vyama mbalimbali nchini humo wanawalalamikia askari wa kulinda usalama kwa kuwakandamiza. Taarifa zaidi anayo mwandishi wetu Kigozi Ismail kutoka Kampala

  • Uganda yaanza zoezi la kuwarejesha nyumbani wananchi waliokwamishwa na corona + Sauti

    Uganda yaanza zoezi la kuwarejesha nyumbani wananchi waliokwamishwa na corona + Sauti

    Jun 24, 2020 11:04

    Serikali ya Uganda imeanza kutekeleza zoezi la kuwarejesha nyumbani wananchi wa nchi hiyo waliokwama katika nchi za ndani na nje ya Afrika kutokana na kuenea ugonjwa wa COVID-19. Serikali ya Uganda imepanga kuwaweka kwenye karantini watu wote wanaorejea nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala

  • Vigogo wa upinzani Uganda waunda muungano kukabiliana na Museveni

    Vigogo wa upinzani Uganda waunda muungano kukabiliana na Museveni

    Jun 15, 2020 10:46

    Viongozi wa upinzani nchini Uganda wametangaza kuunda muungano mpya kwa lengo la kumuondoa madarakani Rais Yoweri Museveni ambaye ameitawala nchi hiyo kwa muda wa miaka 34 sasa.

  • SAUTI, Madereva wa malori kutoka nchi za Kenya na Tanzania: Tunapoingia Uganda tunapachikwa jina la Corona sambamba na kunyanyaswa

    SAUTI, Madereva wa malori kutoka nchi za Kenya na Tanzania: Tunapoingia Uganda tunapachikwa jina la Corona sambamba na kunyanyaswa

    May 13, 2020 12:06

    Madereva wa malori ya masafa marefu kutoka Kenya na Uganda kwenda nchi jirani ya Uganda wamelalamikia vitendo vya kunyanyaswa na kunyanyapaliwa baada ya kuingia nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS