-
Yoweri Museveni ataka viongozi wa "maisha" watawale Afrika, wapinzani wapinga
May 13, 2019 09:58Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka mataifa ya Afrika yaondoe sheria zinazowazuia viongozi wenye umri mkubwa na waiotawala muda mrefu kuwania urais katika nchi zao. Ametoa mwito huo mwezi mmoja baada ya Mahakama ya Juu nchini Uganda kuunga mkono hatua ya bunge la nchi hiyo ya kuondoa ukomo wa kuwania urais nchini humo, ili kumpa nafasi Museveni ya kuendelea kuwa rais.
-
SAUTI, Rais Museven wa Uganda: Ufisadi wa viongozi wa serikali niliowachagua unanivunja moyo sana, kwani nilitaraji wawe waadilifu
May 10, 2019 12:36Rais Yoweri Museven wa Uganda amesema kuwa, amekatishwa tamaa na mienendo hasi ya viongozi wa serikali aliowachagua ambapo awali alidhani kwamba wangekuwa waadilifu kazini.
-
SAUTI, Uganda yavipiga kufuli vyombo 13 vya habari kwa kutangaza habari zililo kinyume na sera za serikali
May 06, 2019 11:12Serikali ya Uganda imevipiga kufuli vyombo 13 vya habari nchini humo kwa tuhuma za kutangaza habari zinazoenda kinyume na sera za serikali ya Kampala.
-
CAFOMI: Wahamiaji haramu kutoka DRC yumkini wakaeneza Ebola Uganda
May 03, 2019 09:11Uganda imejiweka katika hali ya tahadhari kutokana na kuongezeka wasiwasi juu ya uwezekano wa kuenea hadi nchini humo ugonjwa hatari wa Ebola kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo inapambana na mlipuko wa homa hiyo.
-
Polisi mjini Kampala wapambana na vijana wenye hasira + Sauti
Apr 29, 2019 12:27Ghasia za kisiasa na kijamii zimeongezeka mjini Kampala Uganda na kuwalazimisha polisi kutumia nguvu kukabiliana na ghasia hizo. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail na maelezo zaidi.
-
Uganda yalaani hatua za upande mmoja za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Apr 28, 2019 23:45Waziri Mshauri katika Masuala ya Kigeni nchini Uganda amelaani hatua za upande mmoja za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kongamano la mustakbali wa Waislamu linaloshirikisha nchi 25 laendelea Uganda + Sauti
Apr 27, 2019 02:21Kongamano kuhusu mustakbali wa vijana wa Kiislamu barani Afrika linaendelea katika mji mkuu wa Uganda Kampala. Viongozi wa Kiislamu kutoka zaidi ya nchi 25 wanashiriki mkutano huo. Mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail ana maelezo zaidi...
-
Mvua, mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua makumi ya watu Tanzania na Uganda
Apr 24, 2019 03:29Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki zimesababisha vifo vya makumi ya watu katika nchi za Uganda na Tanzania.
-
IEA: Kenya na Uganda zinatakatisha 'fedha chafu' za Sudan Kusini
Apr 21, 2019 23:00Ripoti ya Taasisi ya Masuala ya Uchumi IEA imefichua kuwa, Kenya na Uganda zimefeli kuzuia mzunguko wa pesa haramu zinazotoka katika nchi changa zaidi barani Afrika, Sudan Kusini.
-
SAUTI, Hatimaye mahkama ya kilele nchini Uganda yamsafishia njia Rais Museven kuweza kugombea urais 2021
Apr 19, 2019 13:52Hatimaye mahkama ya kilele nchini Uganda imetoa hukumu ya kesi ya rufaa iliyofunguliwa na mwanasheria Male Mabirizi ambayo ilikuwa ikipinga kuondolewa kipengee cha umri wa mgombea urais.