Kongamano la mustakbali wa Waislamu linaloshirikisha nchi 25 laendelea Uganda + Sauti
Apr 27, 2019 02:21 UTC
Kongamano kuhusu mustakbali wa vijana wa Kiislamu barani Afrika linaendelea katika mji mkuu wa Uganda Kampala. Viongozi wa Kiislamu kutoka zaidi ya nchi 25 wanashiriki mkutano huo. Mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail ana maelezo zaidi...
Tags