-
Uganda yaomba kushirikiana zaidi na Iran katika sekta ya kilimo
Oct 27, 2018 12:11Waziri wa Kilimo wa Uganda Vincent Ssempijja amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa katika sekta ya kilimo, hivyo ametaka mashirika ya kilimo ya Iran yawekeze nchini humo na pande mbili kushirikiana zaidi katika miradi ya kilimo.
-
ICC yasikiliza kesi ya kamanda wa waasi wa Uganda wa LRA
Oct 22, 2018 12:20Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeanza kusikiliza kesi ya kamanda wa genge la kigaidi la Kikristo la LRA lililokuwa linapigania kusimamisha serikali itakayoongozwa kwa amri kumi za Biblia nchini Uganda.
-
IPU yapiga marufuku mijadala kuhusu ushoga na usagaji
Oct 18, 2018 11:59Kikao cha 139 cha Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) kimepiga kura kuunga mkono hoja ya kutaka kupiga marufuku mijadala inayohusu masuala ya ushoga na usagaji.
-
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kufukiwa na matope nchini Uganda yapindukia 40
Oct 13, 2018 04:43Taarifa kutoka nchini Uganda zimeeleza kwamba idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo imepindukia 40 huku juhudi za uokoaji zikiendelea.
-
Watu 31 waaga dunia katika maporomoka ya ardhi Uganda
Oct 12, 2018 04:03Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha katika maporomoko ya ardhi yaliyotokea jana adhuhuri katika vijiji vilivyoko kwenye kaunti ndogo ya Bakalasi, wilayani Bududa mashariki mwa Uganda.
-
SAUTI, Rais Museven, Waganda ishini pamoja kwa upendo kama watoto wa familia moja, ama wahalifu 40 zao zinahesabika
Oct 09, 2018 13:24Rais Yoweri Museven wa Uganda amewataka raia wa nchi hiyo kupendana na kuishi sawa na watoto wa familia moja, badala ya kuchukiana.
-
Miaka 56 ya uhuru wa Uganda + Sauti
Oct 09, 2018 02:12Uganda imeadhimisha mwaka wa 56 wa uhuru wake ikiwa imetekeleza miradi mingi ya maendeleo na kufeli katika sekta nyinginezo. Taarifa kamili anayo mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismael...
-
Jumanne, Oktoba 9, 2018
Oct 08, 2018 23:02Leo ni Jumanne tarehe 29 Muharram 1440 Hijria sawa na tarehe 9 Oktoba 2018.
-
Uganda na Iran kuimarisha ushirikiano katika uga wa sayansi na teknolojia
Oct 05, 2018 12:08Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Uganda ametoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa sayansi na teknolojia.
-
Iran na Uganda zasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika elimu na teknolojia
Oct 03, 2018 10:49Makamu wa Rais wa Jamhuuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia na Rais wa Uganda wamesisitiza katika mazungumzo yao leo mjini Kampala juu ya umuhimu wa kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano wa pamoja kati ya pande mbili katika uga wa elimu na teknolojia.