Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • SAUTI, Mamlaka ya mapato nchini Uganda, imeamua kutumia mashine za kisasa katika kunasa bidhaa haramu

    SAUTI, Mamlaka ya mapato nchini Uganda, imeamua kutumia mashine za kisasa katika kunasa bidhaa haramu

    Aug 06, 2018 12:10

    Mamlaka ya kukusanya mapato nchini Uganda URA, imetangaza kwamba imefanikiwa kunasa kiasi kikubwa cha bidhaa haramu ambazo zilikuwa zikiingizwa nchini bila kulipiwa ushuru.

  • SAUTI, Ziara ya Narendra Modi nchini Uganda, kupanua kiwango uhusiano wa kiuchumi na kisiasa kati ya nchi mbili

    SAUTI, Ziara ya Narendra Modi nchini Uganda, kupanua kiwango uhusiano wa kiuchumi na kisiasa kati ya nchi mbili

    Jul 24, 2018 03:46

    Ziara ya Waziri Mkuu wa India nchini Uganda imetajwa kuwa itakayoboresha mahusiano ya nchi mbili, kutokana na kuwepo matumaini kuonyesha irada ya suala hilo.

  • Uganda yaongeza majeshi katika mpaka na DRC Ziwa Edward

    Uganda yaongeza majeshi katika mpaka na DRC Ziwa Edward

    Jul 16, 2018 22:25

    Jeshi la Uganda limetangaza kuongeza idadi ya askari wake wanaolinda doria katika mpaka wa pamoja na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika Ziwa Edward baada ya kujiri machafuko.

  • Rais Rouhani amtumia ujumbe mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni

    Rais Rouhani amtumia ujumbe mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni

    Jul 12, 2018 10:31

    Mjumbe maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkabidhi Rais Yoweri Museveni wa Uganda ujumbe wa maandishi kutoka kwa mwenzake wa Iran.

  • Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda

    Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda

    Jul 11, 2018 09:07

    Maafisa wa polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wananchi waliomiminika katika barabara za mji mkuu Kampala, kulalamikia kodi mpya wanazotozwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

  • Mapigano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR yashtadi Ziwa Edward, wavuvi 12 wauawa

    Mapigano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR yashtadi Ziwa Edward, wavuvi 12 wauawa

    Jul 09, 2018 22:40

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema wavuvi wasiopungua 12 raia wa nchi hiyo wameuawa katika mapigano makali yanaoendelea kushuhudiwa kwa siku kadhaa sasa kati ya vikosi vya majini vya nchi hiyo na Uganda, katika maji ya Ziwa Edward.

  • SAUTI, Sakata la kodi mpya kwa mitandao ya kijamii Uganda lazidi kutokota, Waganda waitisha maandamano nchi nzima kuipinga

    SAUTI, Sakata la kodi mpya kwa mitandao ya kijamii Uganda lazidi kutokota, Waganda waitisha maandamano nchi nzima kuipinga

    Jul 07, 2018 12:34

    Sakata la kuwekwa kodi kwa mitandao ya kijamii nchini limezidi kutokota ambapo mara hii kundi la wanaharakati kwa kushirikiana na viongozi wa upinzani wameitisha maandamano ya nchi nzima kupinga kodi hiyo.

  • 7 wauawa katika makabiliano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR

    7 wauawa katika makabiliano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR

    Jul 06, 2018 08:53

    Askari wanne na raia watatu wa Uganda wameripotiwa kuuawa katika mapigano makali baina ya vikosi vya majini vya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika maji ya Ziwa Albert.

  • Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)

    Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)

    Jun 26, 2018 12:11

    Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.

  • Polisi Uganda yawatia nguvuni washukiwa 15 wa mauaji wakati wa mechi ya Kombe la Dunia

    Polisi Uganda yawatia nguvuni washukiwa 15 wa mauaji wakati wa mechi ya Kombe la Dunia

    Jun 22, 2018 03:35

    Polisi ya Uganda imetangaza kuwa imewatia nguvuni watu 15 wanaushukiwa kuhusika na machafuko yaliyotokea katika kambi ya wakimbizi kutoka Sudan Kusini wakati wa kutazama mechi ya Kombo la Dunia la mpira wa miguu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS