Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Wanasiasa Uganda watakiwa kuchunga matamshi yao kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola + Sauti

    Wanasiasa Uganda watakiwa kuchunga matamshi yao kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola + Sauti

    May 31, 2018 13:10

    Wanasiasa nchini Uganda wameonywa kuhusu kutoa matamshi yanayoweza kuzusha hofu na wasiwasi mkubwa nchini Uganda na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...

  • Mufti Mkuu wa Uganda: Waislamu shikamaneni na mdumishe udugu

    Mufti Mkuu wa Uganda: Waislamu shikamaneni na mdumishe udugu

    May 29, 2018 11:37

    Mufti Mkuu wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amesisitizia umuhimu wa kudumishwa amani duniani kote.

  • Wakazi wa mashariki mwa Kongo waandamana kulaani udhaifu wa jeshi katika kukabiliana na waasi

    Wakazi wa mashariki mwa Kongo waandamana kulaani udhaifu wa jeshi katika kukabiliana na waasi

    May 22, 2018 23:07

    Utendaji dhaifu wa jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kukabiliana na waasi wa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo, umewakasirisha wakazi wa maeneo hayo na kuamua kufanya maandamano.

  • SAUTI, Shirika la Afya WHO: Walaji wa nyama za porini kama sokwe nk waache tabia hiyo ili waepukane na Ebola

    SAUTI, Shirika la Afya WHO: Walaji wa nyama za porini kama sokwe nk waache tabia hiyo ili waepukane na Ebola

    May 19, 2018 12:32

    Huku Shirika la Afya Duniani (WHO) limkitangaza kuwa, mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo haujafika kiwango cha kutangazwa hali ya hatari, limeitaka serikali ya Uganda kuchukua hatua za kiafya kwa ajili ya kujikinga na janga hilo.

  • Waislamu nchini Uganda watakiwa kukithirisha ibada mwezi wa Ramadhani (SAUTI)

    Waislamu nchini Uganda watakiwa kukithirisha ibada mwezi wa Ramadhani (SAUTI)

    May 16, 2018 03:28

    Mwito umetolewa kwa waumini wa Kiislamu nchini Uganda kujipinda na kukithirisha ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Waislamu, Wakristo Uganda walalamikia kutozwa ushuru Misahafu, Biblia

    Waislamu, Wakristo Uganda walalamikia kutozwa ushuru Misahafu, Biblia

    May 15, 2018 09:44

    Viongozi wa kidini nchini Uganda wamekosoa vikali hatua ya Mamlaka ya Kukusanya Ushuru nchini humo URA kuanza kutoza ushuru wa forodha suhula za kidini zinazoingizwa nchini humo kama nakala za Qurani na Biblia.

  • UN: Wakimbizi 15,000 kutoka Sudan Kusini, DRC wameingia Uganda Aprili

    UN: Wakimbizi 15,000 kutoka Sudan Kusini, DRC wameingia Uganda Aprili

    May 12, 2018 23:46

    Ripoti mpya ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR imebainisha kuwa, wakimbizi 15,000 hususan kutoka nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini wameingia nchini Uganda mwezi uliopita pekee wa Aprili.

  • Uganda yaitaka UN iiongezee ufadhili kwa ajili ya wakimbizi

    Uganda yaitaka UN iiongezee ufadhili kwa ajili ya wakimbizi

    May 06, 2018 03:20

    Serikali ya Uganda imeutaka Umoja wa Mataifa uongeze msaada na ufadhili wake kwa ajili ya makumi ya maelfu ya wakimbizi walioko nchini humo.

  • Upinzani Uganda waijia juu serikali kwa mauaji ya viongozi wa Kiislamu

    Upinzani Uganda waijia juu serikali kwa mauaji ya viongozi wa Kiislamu

    May 04, 2018 02:54

    Viongozi wa upinzani nchini Uganda wameitaka serikali ya Kampala kutoa ripoti kuhusu mauaji na kamatakamata dhidi ya viongozi na wahubiri wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • SAUTI, Ripoti ya Kiislamu, Waislamu Uganda wamtaka Rais Museven kuzingatia uwiano katika nafasi za uongozi

    SAUTI, Ripoti ya Kiislamu, Waislamu Uganda wamtaka Rais Museven kuzingatia uwiano katika nafasi za uongozi

    Apr 27, 2018 12:13

    Waislamu nchini Uganda wamemkumbusha Rais Museven kuangalia uwiano katika uteuzi wa nafasi za uongozi kati ya Waislamu na Wakristo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS