Wanasiasa Uganda watakiwa kuchunga matamshi yao kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45238-wanasiasa_uganda_watakiwa_kuchunga_matamshi_yao_kuhusu_ugonjwa_hatari_wa_ebola_sauti
Wanasiasa nchini Uganda wameonywa kuhusu kutoa matamshi yanayoweza kuzusha hofu na wasiwasi mkubwa nchini Uganda na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 31, 2018 13:10 UTC