Waislamu nchini Uganda watakiwa kukithirisha ibada mwezi wa Ramadhani (SAUTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i44556-waislamu_nchini_uganda_watakiwa_kukithirisha_ibada_mwezi_wa_ramadhani_(sauti)
Mwito umetolewa kwa waumini wa Kiislamu nchini Uganda kujipinda na kukithirisha ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 16, 2018 03:28 UTC

Mwito umetolewa kwa waumini wa Kiislamu nchini Uganda kujipinda na kukithirisha ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Kadhalika Waislamu wenye vipato vya juu nchini humo wametakiwa kuwasaidia waumini wa dini hiyo tukufu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, kama njia ya kuwawezesha kutekeleza ibada ya swaum pasi matatizo.