Mufti Mkuu wa Uganda: Waislamu shikamaneni na mdumishe udugu
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45144-mufti_mkuu_wa_uganda_waislamu_shikamaneni_na_mdumishe_udugu
Mufti Mkuu wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amesisitizia umuhimu wa kudumishwa amani duniani kote.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 29, 2018 11:37 UTC

Mufti Mkuu wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amesisitizia umuhimu wa kudumishwa amani duniani kote.

Akizungumza mjini Kampala, Sheikh Mubajje kadhalika amewaasa Waislamu kote duniani kuimarisha umoja na mshikamano wao. Kigozi Ismail ana maelezo zaidi kutoka Kampala