-
Uganda yaitaka UN iiongezee ufadhili kwa ajili ya wakimbizi
May 06, 2018 03:20Serikali ya Uganda imeutaka Umoja wa Mataifa uongeze msaada na ufadhili wake kwa ajili ya makumi ya maelfu ya wakimbizi walioko nchini humo.
-
Upinzani Uganda waijia juu serikali kwa mauaji ya viongozi wa Kiislamu
May 04, 2018 02:54Viongozi wa upinzani nchini Uganda wameitaka serikali ya Kampala kutoa ripoti kuhusu mauaji na kamatakamata dhidi ya viongozi na wahubiri wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
SAUTI, Ripoti ya Kiislamu, Waislamu Uganda wamtaka Rais Museven kuzingatia uwiano katika nafasi za uongozi
Apr 27, 2018 12:13Waislamu nchini Uganda wamemkumbusha Rais Museven kuangalia uwiano katika uteuzi wa nafasi za uongozi kati ya Waislamu na Wakristo.
-
SAUTI, Ulaji nyama ambazo hazijaiva vizuri, ni hatari mno kwa afya ya mlaji yasema (WHO)
Apr 25, 2018 12:28Ripoti ya Shirika la Afya Duniani WHO, imesema kuwa, ulaji wa nyama choma ambazo hazijaiva vizuri, ni hatari kwa afya ya mlaji.
-
Uganda yakanusha kama imekubali kutuma wanajeshi wake katika vita dhidi ya Yemen
Apr 18, 2018 11:45Serikali ya Uganda imekadhibisha habari kwamba imekubali kutuma wanajeshi wake nchini Yemen.
-
SAUTI, Wanasheria Uganda wafungua upya kesi ya kupinga Rais Museven kugombea tena nafasi hiyo
Apr 09, 2018 13:30Wanasheria na wanasiasa nchini Uganda wamefungua tena kesi ya kupinga maamuzi ya kubatilisha kipengee cha ukomo wa umri kwa mgombea urais nchini humo.
-
Kipindupindu chaua makumi ya wakimbizi Uganda
Apr 05, 2018 23:18Zaidi ya wakimbizi 40 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kambi za wakimbizi zilizoko nchini Uganda.
-
Mzozo wa uongozi wapelekea msikiti kufungwa na kuzingirwa Uganda
Mar 23, 2018 02:52Wanajeshi na maafisa wa polisi wameufunga na kuuzingira Msikiti wa Basajjabalaba katika Manispaa ya Bushenyi-Ishaka magharibi mwa Uganda kutokana na mzozo miongoni mwa Waislamu katika eneo hilo.
-
UNHCR: Wakimbizi zaidi ya 57,000 wa DRC wameingia Uganda tangu kuanza mwaka huu
Mar 17, 2018 04:33Shirika la Kuuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, raia zaidi ya 57,000 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbilia katika nchi jirani ya Uganda tangu ulipoanza mwaka huu wa 2018.
-
SAUTI, Mamlaka ya kusimamia madawa Uganda yaendelea kunasa madawa bandia katika hospitali na maduka ya madawa
Mar 15, 2018 13:13Taasisi ya kudhibiti madawa nchini Uganda imeendelea kukamata madawa ambayo yamekuwa yakiuzwa katika vituo mbalimbali vya afya nchini humo.