-
Generali Kayihura aliyepigwa kalamu nyekundu na Rais Museven ashtakiwa ICC
Mar 07, 2018 10:57Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) aliyefutwa kazi hivi karibuni na Rais Yoweri Museven wa Uganda Kale Kayihura, ameshtakiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na makosa dhidi ya binadamu ambayo inadaiwa aliyafanya alipokuwa na wadhifa huo wa polisi.
-
Sura mpya katika jeshi la polisi nchini Uganda + Sauti
Mar 06, 2018 03:48Mwangwi wa hatua ya Rais Yoweri Kaguda Museveni wa Uganda ya kumtimua Inspekta Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Jenerali Kale Kayehura na maafisa wengine kadhaa wa masuala ya usalama umeendelea kuhisika huku wananchi wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo.
-
Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wafanya mashambulio mashariki mwa DRC na kuua watu 7
Mar 05, 2018 00:32Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wamefanya tena mashambulio katika eneo moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu saba.
-
Uganda yatumia mfumo wa Biometrics kuwasajili wakimbizi
Mar 03, 2018 12:43Uganda inatumia mfumo wa usajili wa alama za vidole (Biometric) kuwasajili wakimbizi wanaozidi kumimnika nchini humo kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemopkrasia ya Kongo.
-
Makumi ya wakimbizi wa DRC huko Uganda waaga dunia kwa kuharisha
Feb 23, 2018 04:11Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepoteza maisha baada ya mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha kuikumba kambi moja ya wakimbizi magharibi mwa Uganda.
-
Yumkini Uganda ikarejesha adhabu ya kifo (SAUTI)
Jan 19, 2018 13:06Kuna wafungwa 278 ambao wamehukumiwa kifo lakini Rais Museveni hajatia saini amri ya utekelezwaji wa hukumu hizo.
-
Rais wa Uganda atafakari kurejesha hukumu ya kifo
Jan 19, 2018 10:32Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema anatafakari kurejesha hukumu ya kifo nchini humo ili kukabiliana na wimbi kubwa la uhalifu nchini.
-
Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR
Jan 17, 2018 11:14Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameibua tuhuma nzito dhidi ya Umoja wa Mataifa akidai kuwa chombo hicho cha kimataifa 'kinalinda ugaidi' mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Jeshi la Kongo lazindua operesheni dhidi ya waasi wa ADF wa Uganda
Jan 14, 2018 04:19Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeanzisha operesheni kali dhidi ya kundi la ADF la Uganda katika mji wa Beni mashariki mwa nchi.
-
SAUTI, Waislamu watakiwa kuyaenzi mafundisho ya Qur'an Tukufu na kuacha mifarakano
Jan 08, 2018 13:56Waislamu duniani wametakiwa kuenzi mafundisho ya Qur'an Tukufu sambamba na kuachana na tofauti ndogondogo zinazoweza kuwafanya kutokuwa wamoja.