-
Uganda kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia ili kupambana na ash-Shabab
May 16, 2017 03:45Serikali ya Uganda imetangaza azma yake ya kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia kwa lengo la kupambana na magaidi wa genge la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab kupitia operesheni ya askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini humo.
-
Malango: Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia Uganda
May 10, 2017 22:58Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Uganda amesema kuwa, wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia nchini humo kila siku.
-
Uganda yaanza kuondoa vikosi vyake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 19, 2017 10:44Jeshi la Ulinzi la Uganda UPDF limeanza kuondoa askari wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambao wamekuweko nchini humo tangu mwaka 2012.
-
Jeshi na waasi Sudan Kusini watuhumiana kwa mauaji ya raia
Apr 05, 2017 11:36Msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) ametangaza habari ya kukimbilia nchini Uganda maelfu ya raia wa Sudan Kusini kufuatia kushadidi mapigano ndani ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi
Apr 04, 2017 11:30Raia zaidi ya elfu 3 wa Sudan Kusini wameingia katika nchi jirani ya Uganda hii leo baada ya wanajeshi wa serikali SPLA kuvamia mji wa mpakani wa Pajok, na kuanza kufanya mauaji kiholela.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 27
Mar 27, 2017 06:36Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi...........
-
Museveni aagiza kuwekwa CCTV Uganda baada ya kuuawa Msemaji wa Polisi
Mar 18, 2017 04:05Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameagiza kamera za CCTV zitundikwe katika miji mikubwa na barabara zote kuu za nchi hiyo, kufuatia mauaji ya Msemaji wa Jeshi la Polisi wa nchi hiyo jana Ijumaa.
-
SAUTI, Polisi ya Uganda: Tumewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria ambao ni wanafunzi kwa madawa ya kulevya
Mar 16, 2017 03:14Polisi nchini Uganda, imewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria kwa kuhusishwa na utumiaji na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
-
SAUTI: Uganda na Ethiopia zazungumzia kadhia ya migogoro ya matumizi ya maji ya mto Nile
Mar 04, 2017 14:38Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amefanya safari ya siku tatu nchini Uganda, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Uganda yaomba msaada wa kimataifa kukabiliana na wimbi la wakimbizi
Feb 16, 2017 12:26Uganda imeomba kupewa msaada wa kimataifa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa wakimbizi wamaomiminika nchini humo.