-
Waislamu Uganda na Nigeria walaani kuchomwa moto Qurani Tukufu Sweden
Jul 04, 2023 07:51Baraza Kuu la Waislamu nchini Uganda (UMSC) limelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden, huku uhalifu huo mkubwa wa kukichoma moto kitabu hicho kitakatifu katika nchi hiyo ya Magharibi ukiendelea kulaaniwa vikali na Waislamu kote duniani.
-
Jeshi la Uganda lawaokoa wanafunzi 3 kati ya 6 waliokuwa wametekwa nyara na waasi
Jun 22, 2023 02:39Jeshi la Uganda limewaokoa wanafunzi 3 kati ya 6 waliokuwa wametekwa nyara na waasi wa kundi la ADF lenye makao yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Balozi wa Uganda nchini Iran: Uganda inatoa ardhi bure kwa wakulima wa Iran
Jun 21, 2023 12:15Balozi wa Uganda nchini hapa amesema kuwa kwa kuzingatia uwezo na maendeleo ya kiviwanda ya mkoa wa Kati wa Iran; Uganda ina hamu ya kushirikiana kiuchumi na mkoa huo.
-
Uganda yawatia mbaroni watu 20 wanaoshukiwa kushiriki katika mauaji ya kutisha shuleni
Jun 20, 2023 06:43Polisi ya Uganda imeeleza kuwa imewatia mbaroni watu 20 kwa tuhuma za kushirikiana na wanamgambo wa kundi la ADF wanaodaiwa kushambulia shule moja karibu na mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumamosi iliyopita.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu: Tunalaani aina zote za ugaidi
Jun 19, 2023 10:41Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya wanafunzi katika eneo la Mpondwe, magharibi mwa Uganda na kusisitiza kuwa, taasisi hiyo inalaani kila aina ya ugaidi.
-
Jeshi la Uganda limeanza kuwasaka wahalifu ili kuwaokoa wanafunzi waliotekwa nyara
Jun 18, 2023 10:23Uganda imeimarisha ulinzi na tayari imeanzisha msako mkubwa baada ya wanamgambo wenye silaha wa ADF wenye mfungamano na kundi la kigaidi ya Daesh (ISIS) kuwauwa watu wasiopungua 41; wengi wao wakiwa ni wanafunzi. Mauaji hayo yamefanyika katika maeneo ya Magharibi mwa Uganda karibu na mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN yalaani shambulizi la kigaidi Uganda, waliouawa ni zaidi ya 40
Jun 18, 2023 07:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya wanafunzi katika eneo la Mpondwe, magharibi mwa Uganda.
-
Makumi ya wanafunzi wauawa katika hujuma ya magaidi wa ADF Magharibi mwa Uganda
Jun 17, 2023 07:58Polisi ya Uganda imetangaza kuwa, makumi ya watu wameuawa katika hujuma iliyofanywa na watu waliokuwa na silaha dhidi ya shule moja ya sekondari Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Uganda yajibu tahadhari ya Marekani, yasema: Hatutatishwa
Jun 16, 2023 07:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema taifa hilo kamwe halitasalimu amri na kukubali kuburuzwa na Marekani ili likengeuke thamani, maslahi na utamaduni wake.
-
Ethiopia yawatimua Waganda waliohadaiwa kwenda 'kuonana' na Yesu
Jun 13, 2023 07:27Mamlaka za Ethiopia zimewarejesha nyumbani raia 80 wa Uganda ambao walitapeliwa fedha zao kwa ahadi kwamba watapelekwa kukutana na Yesu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.