-
Kanisa la Anglikana 'lasikitishwa' na sheria dhidi ya ushoga Uganda
Jun 10, 2023 10:33Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana Duniani amedai kuwa amesikitishwa na hatua ya Uganda ya kupasisha sheria kali ya kupambana na ubaradhuli na mahusiano ya watu jinsia moja.
-
Museveni: Wanajeshi 54 wa Uganda wameuawa na al-Shabaab Somalia
Jun 04, 2023 11:32Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema makumi ya askari wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) waliuawa katika shambulio la wanamgambo wa al-Shabaab nchini Somalia wiki iliyopita.
-
Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika
Jun 01, 2023 12:12Rais wa Marekani, Joe Biden amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo na ameitaka Uganda kufuta mara moja sheria hiyo.
-
Sheria dhidi ya LGBTQ Uganda yamkasirisha rais wa Marekani, atishia kuiwekea nchi hiyo vikwazo
May 30, 2023 06:41Rais Joe Biden wa Marekani amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
-
Uganda yapasisha sheria ya kukabili mapenzi ya watu wa jinsia moja
May 29, 2023 10:53Hatimaye Rais Yoweri Museveni ameupasisha kuwa sheria, Muswada wa 2023 wa kupiga marufuku nchini humo na kuwachukulia hatua kali wanaojihusisha na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja, licha ya maonyo na vitisho vya nchi za Magharibi.
-
Museveni: Tutalipiza kisasi cha shambulio la al-Shabaab dhidi ya UPDF Somalia
May 28, 2023 06:54Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo UPDF litatoa jibu kali kufuatia shambulizi la wanamgambo wa al-Shabaab dhidi ya askari walinda amani wa Uganda walioko nchini Somalia.
-
Museveni: Uganda inaridishwa na uhusiano wake wa kiulinzi na Russia
Mar 27, 2023 02:12Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amepongeza ushirikiano mzuri wa kiulinzi na kijeshi wa Kampala na Moscow na kusisitiza kuwa, Uganda na Russia zimekuwa na mahusiano ya kuridhisha tangu enzi za Sovieti.
-
Askofu Mkuu wa Anglikana amuomba Museveni asipasishe sheria dhidi ya ushoga
Mar 25, 2023 07:14Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana lenye makao makuu yake mjini Canterbury nchini Uingereza anatazamiwa kumuandikia barua Rais Yoweri Museveni wa Uganda, kumuasa asipasishe kuwa sheria muswada wa kupambana na ushoga na mahusiano ya watu jinsia moja uliopitishwa hivi karibuni na Bunge la nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Uganda kutuma askari 1,000 nchini DRC mwezi huu
Mar 24, 2023 07:22Uganda imetangaza kuwa itapeleka wanajeshi elfu moja huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi huu, kama sehemu ya kikosi cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
-
Uganda yawasilisha rasmi bungeni mswada mpya wa kupiga marufuku ngono za watu wa jinsia moja
Mar 10, 2023 10:54Serikali ya Uganda imemuidhinisha Mbunge wa Manispaa ya Bugiri Asuman Basalirwa kuwasilisha rasmi bungeni mchakato wa kupanga na kukamilisha Mswada wa mwaka 2023 wa kupiga marufuku 'ushoga', unaonuia kupiga marufuku nchini humo mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.