-
Spika wa Uganda: Hatuhitaji fedha za wanaotaka 'kunajisi' utamaduni wetu
Mar 01, 2023 06:42Spika wa Bunge la Uganda amekosoa tabia ya madola ya Magharibi ya kutoheshimu tamaduni za watu wengine na badala yake kung'ang'ania misimamo yao kama uozo wa ushoga na ubaradhuli.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda: Wakoloni wanatutaka tuwe maadui wa Russia
Feb 20, 2023 03:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema, nchi yake haitayumbishwa na mashinikizo yanayotolewa na wakoloni wa zamani katika nchi za Magharibi ya kuitaka iwe dhidi ya Russia, ikizingatiwa kuwa uhusiano wa muda mrefu wa pande mbili na Moscow ni muhimu sana kwa Kampala.
-
Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda chapiga marufuku kamera katika mahafali ya 73 ya chuo hicho
Feb 14, 2023 02:29Uongozi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda ambacho ni moja ya vyuo vikuu maarufu zaidi barani Afrika umepiga marufuku wanafunzi na wazazi kubeba simu za mkononi katika mahafali ya 73 ya chuo hicho yaliyoanza jana Jumatatu katika Medani ya Uhuru ndani ya kampasi kuu jijiji Kampala.
-
Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi
Jan 11, 2023 11:15Uganda imetangaza habari ya kudhibitiwa na kutokomezwa mlipuko wa Ebola ambao umeua makumi ya watu nchini humo tangu Septemba mwaka uliomalizika 2022.
-
9 wafariki, wakiwemo watoto 6 katika msongamano wa mkesha wa mwaka mpya Uganda
Jan 02, 2023 07:14Watu wasiopungua tisa wamefariki dunia wakiwemo vijana wadogo sita katika msongamano uliotokea wakati wa sherehe za mkesha wa mwaka mpya katika duka kuu moja la mji mkuu wa Uganda, Kampala.
-
Mafuriko yaua watu 10 kusini mwa Uganda, mamia walazimishwa kuhama makazi yao
Dec 28, 2022 04:21Maafisa wa serikali ya Uganda wametangaza kuwa mafuriko yaliyotokea jana kusini mwa nchi hiyo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 10.
-
ICC yathibitisha adhabu ya kifungo cha miaka 25 jela aliyopewa 'aliyekuwa askari mtoto' wa LRA ya Uganda
Dec 16, 2022 11:59Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetupilia mbali rufaa ya Dominic Ongwen, raia wa Uganda aliyegeuzwa kamanda wa kijeshi akiwa mtoto mdogo katika kundi la waasi la Lord's Resistance Army (LRA), aliyepinga adhabu aliyopewa baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu wa kivita.
-
Wapiganaji 15 wa ADF wauawa na jeshi la Uganda mpakani na DRC
Dec 14, 2022 11:27Askari wa Jeshi la Uganda wamefanikiwa kuwaangamiza wanamgambo 15 wa kundi la waasi la ADF katika mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanandoa wa Marekani waswekwa rumande Uganda kwa kumtesa mtoto wa miaka 10
Dec 13, 2022 07:32Mke na mume raia wa Marekani wanaoishi katika mtaa wa Naguru huko Kampala, mji mkuu wa Uganda wametupwa rumande katika gereza la Luzira, wakikabiliwa na mashitaka ya kumtesa na kumdhalilisha mtoto mdogo wa miaka 10.
-
Waziri: Ukimwi unaua Waganda 46 kila siku
Nov 30, 2022 10:58Waziri katika Ofisi ya Rais nchini Uganda ameashiria ongezeko la maambukizi ya virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa tabaka la vijana wanaobaleghe nchini humo na kusema kuwa, maradhi hayo yanaua Waganda 46 kwa siku.