-
Rais Kenyatta alegeza hatua kwa hatua sheria za kukabiliana na corona Kenya
Jul 06, 2020 11:25Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amelegeza kwa kiasi fulani sheria kali zilizokuwa zimewekwa kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 ambapo umeua watu 150 kufikia sasa nchini humo.
-
Corona yamburuzisha mahakamani Naibu Gavana Kenya, mbunge Tanzania ataka waziri wa SMZ achukuliwe hatua
Apr 07, 2020 14:59Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema ni yeye aliyeamuru Naibu Gavana wa Kaunti ya Kilifi Gideon Saburi akamatwe kwa kile alichosema, uzembe aliofanya wa kukwepa karantini baada ya kurudi safarini kutoka nchini Ujerumani, hali ambayo iliweka hatarini maisha ya Wakenya dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19).
-
Rais wa Kenya aamuru kusitishwa harakati zote Nairobi, Mombasa na kaunti kadhaa kwa hofu ya corona
Apr 06, 2020 16:24Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua mpya zinazolenga kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, ambao hadi sasa umewapata watu 158 na kuchukua roho za wagonjwa sita.
-
Kenya kumsaidia Rais Felix Tshisekedi kurejesha utulivu DRC
Feb 07, 2019 14:44Katika hatua inayoonesha ni ya kuzidi kuunga mkono juhudi za kuleta amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa Nairobi iko tayari kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa sekta ya umma wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kama sehemu ya kuisaidia nchi hiyo kuwa na utulivu wa kudumu na watu wake kuishi kwa usalama na amani.
-
Rais Uhuru Kenyatta alipongeza jeshi la Kenya kwa kazi nzuri linayoifanya + Sauti
Nov 08, 2018 16:37Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepongeza juhudi za jeshi la nchi yake KDF kujumlisha tekinolojia ya kisasa katika mfumo wake wa utoaji mafunzo kwa makuruta, akiitaja hatua hio kama chanya kwenye kuafiki kasi ya mabadiliko ya changamoto za kiusalama nchini mwake na Pembe ya Afrika. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi...
-
Raila atetea ushirikiano wake na Rais Uhuru Kenyatta Kenya +Sauti
Nov 04, 2018 06:32Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Amolo Odinga amewakosoa wale wanaosema kuwa ufanisi wake na Rais Uhuru Muigai Kenyatta kisiasa unatokana na urithi wa nasaba zao na badala yake amesisitiza ni juhudi zao endelevu kisiasa ndizo zimewapa umaarufu huo. Kwa maelezo zaidi tunajiunga na Seifullah Murtadha wa mjini Mombasa, Kenya...
-
Kiongozi wa Upinzani Afrika Kusini asema Kenya ni koloni la Marekani, akipigia chapuo Kiswahili
Aug 31, 2018 06:58Kiongozi maarufu wa upinzani nchini Afrika Kusini amekosoa vikali safari ya hivi karibuni ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya nchini Marekani na mazungumzo yake na rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Kenya yaimarisha usalama wa wanaoendesha vita dhidi ya mafisadi
Aug 19, 2018 07:21Serikali ya Kenya imemarisha usalama wa waendesha mashtaka, makachero na mashahidi wanaohusika katika kampeni mpya rasmi ya vita dhidi ya mafisadi nchini humo.
-
Kenya yaomboleza ajali ya ndege ndogo iliyoua watu 10
Jun 07, 2018 15:35Rais Uhuru Kenyatta analiongoza taifa la Kenya katika kuomboleza vifo vya watu 10 waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la milima ya Aberdares mjini Kinangop kaunti ya Nyandarua, kaskazini mwa mji mkuu Nairobi.
-
Kenya yaweka historia, Rais Kenyatta azindua uuzaji mafuta nje + Sauti
Jun 03, 2018 18:41Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua rasmi usafirishaji wa mafuta ghafi ya petroli yaliyochimbwa nchini humo na kwa utaratibu huo nchi hiyo imeanza mkakati wa kuuza bidhaa hiyo katika soko la kimataifa.