Raila atetea ushirikiano wake na Rais Uhuru Kenyatta Kenya +Sauti
Nov 04, 2018 06:32 UTC
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Amolo Odinga amewakosoa wale wanaosema kuwa ufanisi wake na Rais Uhuru Muigai Kenyatta kisiasa unatokana na urithi wa nasaba zao na badala yake amesisitiza ni juhudi zao endelevu kisiasa ndizo zimewapa umaarufu huo. Kwa maelezo zaidi tunajiunga na Seifullah Murtadha wa mjini Mombasa, Kenya...
Tags