Rais Uhuru Kenyatta alipongeza jeshi la Kenya kwa kazi nzuri linayoifanya + Sauti
Nov 08, 2018 16:37 UTC
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepongeza juhudi za jeshi la nchi yake KDF kujumlisha tekinolojia ya kisasa katika mfumo wake wa utoaji mafunzo kwa makuruta, akiitaja hatua hio kama chanya kwenye kuafiki kasi ya mabadiliko ya changamoto za kiusalama nchini mwake na Pembe ya Afrika. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi...
Tags