-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 06:29Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.
-
Jenerali Amir Hatami: Ushirikiano wa kijeshi wa Iran na Russia ni chanya
Aug 23, 2020 07:52Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia ni chanya na unaoendelea kuimarika.
-
Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili
Aug 01, 2020 09:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii
-
Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia
Jul 14, 2020 02:40Uhusiano wa Marekani na Russsia umekuwa na panda shuka nyingi katika kipindi cha baada ya Vita Baridi. Hata hivyo baada ya kujitokeza mgogoro wa Ukraine hapo mwaka 2014 uhusiano wa Moscow na Washington uliingia katika mporomoko mkubwa na sasa hitilafu kati ya pande hizo mbili zimepanuka zaidi na zaidi.
-
Waziri Zarif aelekea Russia baada ya kuitembelea Uturuki
Jun 16, 2020 08:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia katika ziara rasmi ya kikazi baada ya kuitembelea Uturuki na kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
Zarif asema uhusiano wa Iran na Uturuki katika nyuga tofauti ni wa karibu sana
Jun 15, 2020 07:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki zina uhusiano mzuri wa na karibu sana katika nyuga mbali mbali.
-
Marais Rouhani na Museveni wataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uganda
Apr 22, 2020 13:08Rais Hassan Rouhani ameutaja uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda kuwa mzuri na uliojengeka katika misingi ya heshima, na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuboresha uhusiano wa pande mbili na nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika nyuga zote.
-
Sababu zinazoifanya ziara ya Amir wa Qatar nchini Iran kuwa na umuhimu mkubwa
Jan 15, 2020 06:13Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Jumapili iliyopita ya tarehe 12 Januari 2020, alifanya ziara rasmi hapa mjini Tehran. Katika ziara hiyo, Sheikh Tamim alionana na viongozi wa ngazi za juu kabisa wa Iran akiwemo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na Rais Hassan Rouhani.
-
Mousavi: Iran haitawasahau marafiki wake katika kipindi kigumu
Dec 24, 2019 08:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitawasahau marafiki zake wa kipindi kigumu.
-
Onyo kali la Russia juu ya kuharibika uhusiano wa nchi hiyo na Shirika la Kijeshi la NATO
Dec 10, 2019 02:53Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano wa Russia na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) hususan baada ya kuzuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, umekuwa ni wa mzozo ambapo kiwango cha migogoro na makabiliano baina ya pande hizo mbili kimeendelea kukua mwaka baada ya mwaka.