Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Uingereza yaazimia kuwaondoa askari wake nchini Mali

    Uingereza yaazimia kuwaondoa askari wake nchini Mali

    Nov 15, 2022 03:43

    Uingereza imetangaza habari ya kutaka kuwaondoa mamia ya askari wa nchi hiyo walioko nchini Mali chini ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MINUSMA.

  • Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran

    Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran

    Oct 25, 2022 10:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Oct 24, 2022 00:30

    Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London wakishinikiza nchi hiyo irejee katika Umoja wa Ulaya.

  • BBC, karne moja ya huduma na uaminifu kwa serikali ya Uingereza

    BBC, karne moja ya huduma na uaminifu kwa serikali ya Uingereza

    Oct 20, 2022 05:18

    "Tom Mills, mwanasosholojia na mwandishi wa Kiingereza, anasema katika kitabu "The BBC: Myth of a Public Service" kwamba BBC daima imekuwa ikisema hewallah na imekuwa hadimu mtiifu kwa wale walio madarakani..."

  • Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu

    Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu

    Oct 02, 2022 04:08

    Waislamu wanaoishi London, mji mkuu wa Uingereza wamefanya maandamano ya kulalamikia vitendo vya kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu na chokochoko dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Maelfu waandamana Uingereza kulalamikia gharama za juu za maisha

    Maelfu waandamana Uingereza kulalamikia gharama za juu za maisha

    Oct 02, 2022 04:00

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Uingereza, kulalamikia mgogoro wa mfumko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha.

  • Jumanne tarehe 20 Septemba 2022

    Jumanne tarehe 20 Septemba 2022

    Sep 19, 2022 21:53

    Leo ni Jumanne tarehe 23 Safar 1444 Hijria sawa na Septemba 20 mwaka 2022.

  • Watu wa Wales wamwambia Mfalme Charles: Unafuja mali zetu katika sherehe zako, wewe si mfalme wetu

    Watu wa Wales wamwambia Mfalme Charles: Unafuja mali zetu katika sherehe zako, wewe si mfalme wetu

    Sep 18, 2022 07:53

    Mfalme wa Uingereza, Charles III, amekabiliwa na hali ya aibu na fedheha huko Cardiff, mji mkuu wa Wales, alipokuwa akisalimiana na raia kadhaa waliokuwa wamekusanyika kuhudhuria kutawazwa kwake, wakati mtu mmoja alipojitokeza na kumshutumu mfalme kuwa anafuja pesa za walipakodi kwa ajili ya sherehe za kifalme.

  • Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza

    Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza

    Sep 18, 2022 03:36

    Makumi ya watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, kulaani safari ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Uingereza.

  • Maandamano dhidi ya ufalme wa Uingereza yafanyika Scotland

    Maandamano dhidi ya ufalme wa Uingereza yafanyika Scotland

    Sep 14, 2022 03:17

    Kwa mara nyingine tena, maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa Scotland, Edinburg kupinga mfumo wa kifalme wa Uingereza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS