-
China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita
Aug 18, 2022 23:34Balozi wa China mjini London ameonya kuwa, uingiliaji wa mambo unaofanywa na Uingereza na Marekani juu ya suala la Taiwan hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya vita.
-
Malkia wa Uingereza aitwa 'Mkoloni' na Seneta wa Australia wakati wa kula kiapo
Aug 01, 2022 22:56Kauli iliyotolewa na seneta mmoja wa Australia ya kumwita mkoloni Malkia Elizabeth II wa Uingereza imeibua makelele ndani ya bunge la Australia.
-
Uchunguzi: Jeshi la UK liliua makumi ya wafungwa wa Kiafghani
Jul 12, 2022 23:12Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la BBC la Uingereza umefichua kuwa, askari wa nchi hiyo ya Ulaya waliwaua kwa kuwafyatulia risasi raia zaidi ya 50 wa Afghanistan, licha ya kuwa hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.
-
Afisa wa Iran: Ubaguzi umekita mizizi katika historia ya Uingereza
Jun 22, 2022 23:08Ubaguzi na udhalilishaji wa binadamu ni mambo yaliyokita mizizi katika historia ya Uingereza. Hayo yamesemwa na Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran, Kazem Gharibabadi katika ujumbe wake kwa njia ya Twitter.
-
UN yajitenga na mpango wa kuwahamishia wakimbizi wa UK nchini Rwanda
Jun 11, 2022 05:50Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limejiweka mbali na madai kuwa linaunga mkono mpango wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi nchini Uingereza.
-
Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu
Jun 11, 2022 05:49Wanazuoni wa Kiislamu nchini Uingereza wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" yenye kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini
Jun 08, 2022 06:20Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
-
Alkhamisi, 02 Juni, 2022
Jun 02, 2022 07:10Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Mfunguo Pili Dhul Qaadah 1443 Hijria, sawa na tarehe Pili Juni 2022 Miladia
-
Russia: Madai kuwa Iran imetuletea silaha ni uongo na ni propaganda za Wamagharibi
Apr 24, 2022 08:20Ubalozi wa Russia mjini Tehran umesema kuwa, uvumi ulioenezwa kwamba Iran imeipelekea silaha Russia ili izitumie katika vita vya Ukraine, ni uongo na ni propaganda tu za madola ya Magharibi.
-
Eritrea yakosoa mpango 'haramu' wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi wa Uingereza
Apr 19, 2022 22:18Serikali ya Eritrea imekosoa makubaliano ya kuwahamishia Rwanda wakimbizi kutoka Uingereza ikisisitiza kuwa, mpango huo haukubaliki, unashtua na unapaswa kupingwa na kulaaniwa vikali.