Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni

    China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni

    Apr 02, 2022 22:11

    Serikali ya China imelaani vikali uingiliaji wa Uingereza katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kuachana na fikra zake za kikoloni.

  • Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne

    Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne

    Feb 20, 2022 04:26

    Turathi mbili muhimu za kihistoria za Nigeria zilizoibiwa na Uingereza katika enzi za ukoloni hatimaye zimerejeshwa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, baada ya kupita zaidi ya miaka mia moja.

  • Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza

    Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza

    Feb 15, 2022 04:42

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wamejadili misimamo ya nchi mbili katika mazungumzo yanayoendelea sasa huko Vienna nchini Austria kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran yajibu uropokaji wa Uingereza kuhusu mazungumzo ya JCPOA

    Iran yajibu uropokaji wa Uingereza kuhusu mazungumzo ya JCPOA

    Jan 27, 2022 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali bwabwaja mpya zilizotolewa na Uingereza juu ya mazungumzo ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayoendelea huko Vienna, Austria.

  • Serikali ya Uingereza yaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyefutwa kazi

    Serikali ya Uingereza yaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyefutwa kazi

    Jan 24, 2022 08:56

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyesema kwamba alifutwa kazi katika serikali yake kwa sababu ya imani yake ya Kiislamu.

  • Corona imeua watu 150,000 Uingereza ndani ya mwezi mmoja

    Corona imeua watu 150,000 Uingereza ndani ya mwezi mmoja

    Jan 09, 2022 09:53

    Watu 150,000 wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nchini Uingereza, hiyo ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya vifo vya maradhi hayo kuwahi kusajiliwa nchini humo tangu janga la Corona lishike kasi Machi 2020.

  • Waingereza wasalimu amri, wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini

    Waingereza wasalimu amri, wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini

    Jan 07, 2022 11:51

    Ufunguo wa seli ya gereza ya kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani.

  • Utafiti: Nusu ya watoto weusi wa UK wanaishi katika umaskini

    Utafiti: Nusu ya watoto weusi wa UK wanaishi katika umaskini

    Jan 04, 2022 04:31

    Utafiti mpya umefichua kuwa, zaidi ya asilimia 50 ya watoto wenye asili ya Afrika nchini Uingereza wanakulia katika mazingira ya uchocholea na umaskini wa kupindukia.

  • Waafrika Kusini wapinga azma ya Shell kuchimba mafuta pwani ya nchi hiyo

    Waafrika Kusini wapinga azma ya Shell kuchimba mafuta pwani ya nchi hiyo

    Dec 05, 2021 23:46

    Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika fukwe za nchi hiyo kupinga mpango wa shirika la mafuta la Uingereza na Uholanzi la Royal Dutch Shell wa kuchimba mafuta katika pwani ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • HAMAS yaanzisha kampeni kubwa ya uhamasishaji kukabiliana na hatua ya Uingereza dhidi yake

    HAMAS yaanzisha kampeni kubwa ya uhamasishaji kukabiliana na hatua ya Uingereza dhidi yake

    Nov 27, 2021 23:22

    Mshauri wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Ismail Haniya ameagiza ianzishwe kampeni kubwa ya uhamasishaji ya kuunga mkono kadhia ya Palestina ili kukabiliana na hatua ya karibuni ya Uingereza dhidi ya Hamas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS