Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Afrika Kusini yaikosoa UK kwa kusimamisha safari za ndege, kisa spishi mpya ya corona

    Afrika Kusini yaikosoa UK kwa kusimamisha safari za ndege, kisa spishi mpya ya corona

    Nov 27, 2021 01:08

    Afrika Kusini imeikosoa vikali serikali ya Uingereza kwa kupiga marufuku raia wa hiyo pamoja na nchi za Botswana, Namibia, Zimbabwe, Lesotho na Eswatini kuingia katika nchi hiyo ya Ulaya, kufuatia kugunduliwa spishi mpya ya corona kwa jina B.1.1.529 katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • Familia ya mwanamke wa Kenya aliyeuawa yalishtaki jeshi la Uingereza

    Familia ya mwanamke wa Kenya aliyeuawa yalishtaki jeshi la Uingereza

    Nov 10, 2021 10:54

    Familia ya mwanamke wa Kenya anayedaiwa kuuawa na askari wa Uingereza imelishtaki jeshi la UK ikitaka lishurutishwe kutoa majibu ya kitendawili cha mauaji hayo.

  • Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran

    Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran

    Nov 09, 2021 04:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.

  •  Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow

    Nov 03, 2021 07:18

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko Scotland.

  • Mbunge wa chama tawala Uingereza auawa kwa kisu kanisani

    Mbunge wa chama tawala Uingereza auawa kwa kisu kanisani

    Oct 15, 2021 23:02

    Mbunge mmoja wa chama tawala cha kihafidhina nchini Uingereza ameuawa kwa kuchomwa kisu kanisani na mtu asiyejulikana katika mji wa Leigh-on-Sea kusini mwa nchi.

  • Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia

    Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia

    Sep 20, 2021 05:44

    Korea Kaskazini imesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi tatu za Marekani, Uingereza na Australia ni hatua hatari sana.

  • Lebanon yafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Uingereza kwa kuhusika na mlipuko wa Bandari ya Beirut

    Lebanon yafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Uingereza kwa kuhusika na mlipuko wa Bandari ya Beirut

    Aug 25, 2021 03:46

    Lebanon imefungua mashtaka katika mahakama Kuu ya Uingereza mjini London dhidi ya kampuni moja ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika katika mlipuko wa mwaka jana katika Bandari ya Beirut.

  • Palestine Action yavamia kiwanda cha kuzalisha silaha cha Israel nchini Uingereza

    Palestine Action yavamia kiwanda cha kuzalisha silaha cha Israel nchini Uingereza

    Aug 23, 2021 08:20

    Kama sehemu ya kampeni yao ya kitaifa dhidi ya kiwanda kinachotengeneza silaha za Israeli, wanaharakati wanaounga mkono Palestina nchini Uingereza wamefanya maandamano nje ya kiwanda cha kampuni hiyo kwenye eneo Oldham na kuvamia paa la kiwanda hicho.

  • Uingereza yaidhinisha dawa ya kuzuia na kutibu Corona

    Uingereza yaidhinisha dawa ya kuzuia na kutibu Corona

    Aug 20, 2021 21:58

    Mamlaka ya Kusimamia Dawa na Matibabu Uingereza (MHRA) imeidhinisha kile ilichokitaja kuwa dawa ya aina yake ya kukinga na kutibu ugonjwa wa COVID-19.

  • Wanasoka weusi wa timu ya taifa ya Uingereza waandamwa na hujuma za ubaguzi wa rangi

    Wanasoka weusi wa timu ya taifa ya Uingereza waandamwa na hujuma za ubaguzi wa rangi

    Jul 12, 2021 03:45

    Shirikisho la Soka la Uingereza limetoa taarifa likieleza kuchukizwa na kauli za matusi ya kibaguzi dhidi ya wachezaji weusi wa timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo na kutangaza uungaji mkono wake kwa wachezaji hao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS