-
Abbas Mousavi: Serikali ya Uingereza haina haki ya kuipangia mambo Iran
Mar 11, 2020 23:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Uingereza haiko katika nafasi ya kutaka kuipangia mambo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen
Mar 06, 2020 07:34Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Watu wa Yemen amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Marekani na Uingereza wanaongoza mashambulizi yanayofanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.
-
Mahakama ya Rufaa ya Uingereza 'yaharamisha' ndoa za Kiislamu
Feb 16, 2020 04:43Mahakama ya Rufaa ya Uingereza imebatilisha uamuzi wa miaka miwili iliyopita wa kutambua ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu (Nikah).
-
Mauzo ya silaha za Uingereza kwa muungano wa Saudia yaongezeka
Dec 25, 2019 04:08Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limefichua kuwa, mauzo ya silaha za Uingereza kwa muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mashambulizi ya Yemen yameongezeka kwa asilimia 50 ndani ya miaka mitano iliyopita.
-
Maandamano Uingereza kupinga matokeo ya uchaguzi, Scotland yataka kujitenga
Dec 14, 2019 08:52Maandamano makubwa yameripotiwa katika maeneo mbali mbali nchini Uingereza kupinga matokeo ya uchaguzi wa bunge ambapo chama cha Kihafhidhina (Conservative) cha Waziri Mkuu Boris Johnson kimepata ushindi.
-
Umoja wa Afrika waitaka Uingereza kurejesha visiwa vya Chagos, isitishe utawala wa kikoloni
Nov 23, 2019 08:38Umoja wa Afrika umeitaka Uingereza kuondoka katika Visiwa vya Chagos baada ya muhula iliyopewa na Umoja wa Mataifa kufanya hivyo kumalizika. Katika taarifa, Umoja wa Mataifa umesema iwapo London itakataa kutii amri hiyo basi itakuwa imekiuka sheria za kimataifa.
-
Shule za Kiislamu Uingereza zaweka historia, zashika nafasi tatu za juu na kuongoza kwa ubora
Nov 02, 2019 04:44Shule za Kiislamu za Uingereza zimeweka historia kwa kushika nafasi tatu za kwanza katika orodha ya shule bora zaidi nchini humo.
-
Wahajiri wanane wakutwa ndani ya lori la friji wakisafirishwa kupelekwa Uingereza
Oct 28, 2019 04:33Wahajiri wanane kutoka Afghanistan wamekutwa ndani ya lori la friji lililokuwa likielekea Uingereza, wakati lori hilo lilipokaguliwa katika bandari ya Calais nchini Ufaransa. Hayo ni kwa mujibu wa ofisi ya mkuu wa mashtaka wa mji huo.
-
Maiti 39 zapatikana ndani ya lori kusini mwa Uingereza, dereva akamatwa
Oct 23, 2019 23:19Miili 39 imepatikana ndani ya lori lililokuwa limeegeshwa katika eneo la Grey, jijini Essex, mashariki mwa London, kusini mashariki mwa Uingereza.
-
Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza yabatilisha uamuzi wa Johnson wa kusimamisha Bunge
Sep 24, 2019 10:12Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza imebatilisha uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson wa kusimamisha vikao vya Bunge na kusisitiza kuwa hatua hiyo imechukuliwa "kinyume cha sheria, ni batili na haina athari yoyote".