-
Uingereza yakiuka marufuku ya kuiuzia silaha Saudia
Sep 17, 2019 22:09Serikali ya Uingereza imekiri kuwa ilikiuka marufuku ya kuuzia silaha utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia unaoua raia wasio na hatia huko Yemen.
-
Hasira zapanda Uingereza baada ya waziri mkuu kusitisha vikao vya bunge
Aug 30, 2019 03:31Hasira zinaendelea kupanda miongoni mwa wananchi na wanasiasa nchini Uingereza baada ya waziri mkuu wa nchi hiyo kuchukua uamuzi wa kidikteta wa kusitisha vikao vya bunge.
-
Larijani: Uingereza imelazimika kulegeza msimamo mkabala na nguvu ya Iran
Aug 17, 2019 02:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezungumzia suala la kuachiwa meli ya mafuta ya Iran ya Grace-1 na kueleza kuwa Uingereza imelazimika kusalimu amri mbele ya nguvu ya Iran.
-
Kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran; kushindwa Uingereza na kufedheheka Marekani
Aug 16, 2019 05:35Kufuatia diplomasia hai na athirifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uamuzi wa Mahakama ya Juu ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar), hatimaye meli ya mafuta ya Iran inayojulikana kama Grace 1 imechiliwa na kuruhusiwa kuendelea na safari zake katika maji ya kimataifa.
-
Iran: Uingereza inatarajiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta iliyoizuia
Aug 13, 2019 22:06Shirika la Bandari na Safari za Majini la Iran limesema, Uingereza inatazamiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta inayomilikiwa na Iran ambayo iliizuia kinyume cha sheria mwezi uliopita katika pwani ya Gibraltar, baada ya pande mbili kubadilishana baadhi ya nyaraka ili kurahisisha kuachiwa kwa meli hiyo.
-
Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki
Aug 13, 2019 02:59Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.
-
IRGC: Vita vinaweza kutokea Israel ikijiingiza Ghuba ya Uajemi; US, UK ndizo zitakazobeba dhima
Aug 12, 2019 10:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeonya kuwa kuwepo kwa namna yoyote ile utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunaweza kusababisha vita katika eneo hilo na kusisitiza kwamba, Marekani na Uingereza ndizo zitakazobeba dhima ya matokeo hasi ya uwepo huo haramu.
-
Uingereza na Marekani zaitaka Tanzania izingatie "utaratibu wa haki" katika kesi ya Kabendera
Aug 09, 2019 20:50Serikali za Uingereza na Marekani zimeitaka Tanzania ihakikishe mchakato na utaratibu wa haki wa sheria unafuatwa kuhusiana na mwandishi wa habari aliyekamatwa na kushtakiwa kwa makosa ambayo, wakili wake na makundi ya kutetea haki za binadamu yanasema, yametokana na sababu za kisiasa.
-
Jumapili, 04 Agosti, 2019
Aug 03, 2019 22:06Leo ni Jumapili tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhulhija 1440 Hijria sawa na tarehe 4 Agosti mwaka 2019 Miladia.
-
Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Iran atoa onyo kwa Marekani na Uingereza
Jul 24, 2019 13:25Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya ulinzi ametoa onyo kwa Uingereza kuhusiana na nia yake ya kujiingiza kwenye eneo la Lango Bahari la Hormuz na kwa Marekani kuhusu nia yake ya kutaka kuanzisha vita vya kijeshi na akaeleza kwamba: Kauli iliyotolewa na Saudi Arabia na Imarati kuhusu kuhitimishwa vita vya Yemen inadhihirisha kushindwa kwao katika vita hivyo.