• Uislamu Chaguo Langu (96)

    Uislamu Chaguo Langu (96)

    Mar 01, 2016 11:46

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki maishani yaani Uislamu. Katika makala yetu ya leo tutamuangazia Mtaliano aliyesilimu Sara Teras.

  • Uislamu Chaguo Langu (95)

    Uislamu Chaguo Langu (95)

    Mar 01, 2016 11:42

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayowaangazia watu ambao baada ya utafiti wa kina na wa wazi huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru katika maisha ya dunia na akhera yaani Uislamu. Ni matumaini yangu kuwa utaendelea kuwa nami hadi mwisho ambapo leo tutamuangazia Mmarekani aliyesilimu Bi Susan Aubrey.

  • Larijan: Iran inataka kuona umoja wa kiistrataji miongoni mwa Waislamu

    Larijan: Iran inataka kuona umoja wa kiistrataji miongoni mwa Waislamu

    Feb 28, 2016 07:54

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema moja ya sera za Jamhuri ya Kiislamu ni kuona umoja na mshikamano wa kiistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu unadumishwa.

  • Hizbullah ya Lebanon: Saudi Arabia ndio inayochafua jina la dini tukufu ya Kiislamu

    Hizbullah ya Lebanon: Saudi Arabia ndio inayochafua jina la dini tukufu ya Kiislamu

    Feb 27, 2016 07:30

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo mchafuzi mkubwa wa haiba na sura ya Uislamu ulimwenguni.

  • Mchungaji UK: Uislamu uko karibu na Issa AS zaidi kuliko Ukristo

    Mchungaji UK: Uislamu uko karibu na Issa AS zaidi kuliko Ukristo

    Feb 22, 2016 03:36

    Mchungaji mmoja nchini Uingereza amesema kuwa, mafundisho ya Kiislamu yako karibu na yale aliyoyafunza Yesu yaani Nabii Issa AS, kuliko mafundisho mengi yanayotolewa katika Makanisa ya Magharibi.