-
Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu
Oct 24, 2021 11:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuzaliwa Mtume mtukufu Muhammad (SAW) kulifungua ukurasa mpya katika maisha ya mwanadamu.
-
Facebook yatakiwa kufuta matangazo ya AIPAC yanayoeneza chuki dhidi ya Waislamu
Aug 15, 2021 22:08Mtandao wa kijamii wa Facebook uko chini ya shinikizo yanayoutaka kuondoa matangazo yanayohujumu Uislamu na Waislamu dhidi ya mwakilishi Muislamu wa Kongesi ya Marekani Ilhan Omar, ambayo vikundi vya wanasheria vinasema yanahatarisha maisha ya mbunge huyo wa Minnesota.
-
Aliyekuwa muigizaji wa Bollywood awajibu wanaomdhihaki kwa kuvaa Hijabu
Jun 03, 2021 22:10Muigizaji mashuhuri wa zamani wa sekta ya filamu ya Bollywood ya India amewajia juu watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaomdhihaki na kumkejeli kwa kuvaa vazi la stara la Hijabu.
-
Waislamu wa Austria kuishtaki serikali kwa kuhatarisha usalama wao, ubaguzi
May 30, 2021 08:12Kundi linaloongoza la Waislamu nchini Austria limesema lina mpango wa kufungua kesi dhidi ya serikali ya Kansela Sebastian Kurz kwa kuanika "ramani ya Uislamu" iliyozusha utata mkubwa.
-
Jumapili tarehe 30 Mei 2021
May 29, 2021 22:13Leo ni Jumapili tarehe 18 Mfunguo Mosi Shawwal 1442 Hijria sawa na Mei 30 mwaka 2021.
-
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza aitaka Conservative itupilie mbali Islamophobia
May 26, 2021 21:50Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza amekishauri chama tawala cha Conservative kujipanga upya kwa kutupilia mbali sera za kupiga vita Uislamu (Islamophobia).
-
Mamia ya wanaharakati wa Kiislamu wakamatwa Bangladesh kwa kupinga safari ya Modi
Apr 19, 2021 09:00Polisi ya Bangladesh imewatia nguvuni mamia ya wanaharakati wa Kiislamu baada ya mandamano yaliyoandamana na umwagaji damu ya kupinga safari ya Waziri Mkuu wa India nchini humo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
-
Mahakama Kuu ya India yatengua sheria ya marufuku ya kubadili dini
Apr 13, 2021 22:05Mahakama ya Juu ya India imetengua sheria inayowapiga marufuku raia wa nchi hiyo kubadili dini kutoka kwenye imanii ya Kihindu na kuingia kwenye Uislamu au ukristo. Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo imesema kuwa, sheria hiyo inapingana na katiba ya nchi.
-
Dunia yaendelea kukosoa azimio la Seneti ya Ufaransa kuhusu marufuku ya hijabu
Apr 10, 2021 23:06Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Ufaransa na maeneo mengine ya dunia wameanzisha kampeni iliyopewa jina la Hands Off My Hijab (@handsoffmyhijab) wakieleza hasira zao dhidi ya azimio la Baraza la Seneti la Ufaransa la kuzidisha vizuizi na marufuku dhidi ya vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, Hijabu. Watu wengi wamesema kuwa azimio hilo linapiga vita Uislamu.
-
Muslim Advocates yaitaka Facebook ikomeshe chuki dhidi ya Uislamu
Apr 09, 2021 22:05Taasisi ya Muslim Advocates imewasilisha mashtaka mahakamani dhidi ya Facebook, Mkurugenzi Mtendaji wake, Mark Zuckerberg na kiongozi nambari mbili wa kampuni hiyo, Sheryl Sandberg ikiitaka Facebook kutilia maanani harakati zinazoeneza chuki na uhasama dhidii ya Waislamu katika mtandao huo.