-
Mamia ya watu waandamana Berlin Ujerumani kuunga mkono haki za Wapalestina
Oct 09, 2026 02:52Mamia ya watu mjini Berlin, Ujerumani wameandamana kwa ajili ya kuunga mkono haki za Wapalestina, ambao wamekuwa wakilengwa na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
Waziri wa Fedha wa Ujerumani amwambia Trump: Komesha vita 'visivyo na uwajibikaji' dhidi ya Iran
Aug 29, 2026 10:14Waziri wa Fedha wa Ujerumani amemtaka Rais Donald Trump wa Marekani kukomesha vita "visivyo vya kuwajibika" dhidi ya Iran.
-
Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka Ujerumani, matukio 231 yarekodiwa katika nusu ya mwaka
Aug 12, 2026 03:33Mamlaka za Ujerumani zimerekodi makosa 231 ya jinai yaliyofanywa dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2026.
-
Jumatatu, 03 Agosti, 2026
Aug 03, 2026 03:03Leo ni Jumatatu tarehe 19 Mfunguo Tano Safar 1448 Hijria mwafaka na 3 Agosti 2026.
-
Ukandamizaji wa sauti za kutetea Palestina nchini Ujerumani
Jul 21, 2026 11:25Mauaji ya halaiki yanayoendelezwa na utawala wa Israel huko Gaza kwa kiasi kikubwa yamefutwa kwenye vyombo vya habari vya Ujerumani na katika ajenda ya umma; hata hivyo, ukandamizaji wa sauti za kuunga mkono Palestina haujatoweka.
-
Mwanasiasa wa Ujerumani: EU ni mshirika katika ugaidi wa kimfumo wa Israel
Jun 01, 2026 02:55Mwanasiasa wa Ujerumani na mbunge wa zamani wa bunge la nchi hiyo amekosoa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: "Walowezi wa Kizayuni wanafanya ugaidi wa kimfumo dhidi ya Wapalestina, na serikali ya Ujerumani na Umoja wa Ulaya wanashiriki katika uhalifu huo kwa kunyamaza kimya."
-
Kwa Nini Ndoto ya Marekani ya Kuwa Nchi ya Fursa Imeyoyoma?
May 19, 2026 09:35Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema, kutokana na “hali ya kijamii” ya Marekani inayozidi kuwa mbaya, haitazami tena nchi hiyo kwa jicho la mahala pa kuwashauri watoto wake wakasome au kufanya kazi.
-
Muda wa Kuondolewa Vituo vya Kijeshi vya Marekani Barani Ulaya Umeshaanza Rasmi?
May 03, 2026 09:48Wizara ya vita ya Marekani Pentagon imetangaza rasmi kuwa, itawaondoa wanajeshi 5,000 wa nchi hiyo walioko Ujerumani; uamuzi ambao utatekelezwa ndani ya muda wa miezi sita hadi kumi na mbili ijayo.
-
Iran yamuita balozi wa Ujerumani kulalamikia 'uadui' wa Berlin
Feb 18, 2026 02:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Ujerumani hapa mjini Tehran kulalamikia misimamo na hatua za hivi karibuni za uadui zilizochukuliwa na mamlaka za Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ukosoaji mkali zaidi kuwahi kufanywa na Ujerumani: Marekani inaigeuza dunia "pango la wezi"
Jan 09, 2026 23:02Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani amezikosoa vikali sera za nje za Rais wa Marekani Donald Trump na kuutaka ulimwengu usiruhusu nidhamu ya dunia ikageuzwa kuwa "pango la wezi".